Nasumbuliwa na tabia ya kukasirika haraka, nifanye nini?

Hitaji lako ni kunyanduliwa mara kwa mara utaona mabadiliko makubwa sana mara moja. Kila la heri.

Imekua almost a few month now tangu niwe katika Hali hii back to my point I have been through hell in relationship so sijui ndo hii Hali nayojiskia ndo imetokana na hivyo I don't know....
 
Samehe wote waliokukosea
Hasa wanaume
Orodhesha yale waliyokukosea
Sali
Jisamehe na wewe pia
Muombe Mungu roho ya utulivu...

poleh sana.,
 
Hujaeleza lakini hii hali haijaanza from nowhere..... ilianzia sehemu either wewe kutendewa ukatili, kuachwa au pengine mama yako au dada yako ama mtu mwingine wa karibu alitendewa mambo ambayo siyo mazuri......

Kwa hiyo kitu cha muhimu ni wewe binafsi kuamua kubadilika... Speak with yourself... usibadilike ghafla sana anza kwa hatua....

Mabadiliko yasiwe yasiyotumia akili ambayo yanaweza kukudondosha kwenye hatari nyingine..... Cobra effect... (when the attempt to solve the problem makes the problem worse)

Ni hayo tu kwa sasa...
 
Inabidi upate maarifa yatokanayo na Neno la Mungu pamoja na ya kisaikolojia.

Hautakuwa yuleyule.

Ukiwa mtu wa hasira na ghadhabu unajiumiza nafsi yako na afya yako kwa ujumla baada ya muda iwapo hali hiyo itaendelea bila mabadiliko chanya.
 
Kama bado unasumbuliwa hiyo hali wewe kula mjani tu, utajikuta upo happy bila sababu. Yaani unaweza jikuta unaanza kucheka tukio lililotokea january na uka enjoy kabisa, ni wewe tu!.
 
Nenda hospitali kamuone psychiatric atakuhudumia ,

Kupona hapo inahitajika tiba mtambuka,

Za kisaikolojia na kiimani

Mazoezi ya mara Kwa mara

Kujifunza upendo na rehema.

Kuondokana na perfectionism etc
 
Back
Top Bottom