Mjadala: Nini chanzo na tiba ya tatizo la upele kuota kwenye uume?

Dah,,yaani unaona fahari kabisa kuona nyeti za mwanaume mwenzio.

Tuma na yako ya nyuma basi kunogesha Uzi.
So irrational. Nani kakwambia naona fahari? Nimekwambia nina ugua kama huyo mleta uzi?

Nyie mmejiunga juzi tu mnajifanya wajuzi hamjui humu watu wametibiwa magonjwa na wakapona na kuna madokta tunajua wako humu wameacha kupost sababu ya viccoment vyenu vya kitoto?

Heshimu maoni ya watu. Kama huna msaada unaoweza kumpa unaweza kupotezea tu. Siyo unaleta hisia zako juu ya nn apost na nn asipost
 
Halafu huwa najiuliza hivi wanawake hawaumwi sehem za siri?
Mbona hawajawahi kutuma humu?

Kila siku ni wimbi la wanaume kutuma ngogwe zao humu.
Halafu kuna madume yana suport kabisa .

Aibu nimeona mm
Khaaa!!
Nimeshangazwa pia, hii sio JF ninayoijua mimi ..
 
So irrational. Nani kakwambia naona fahari? Nimekwambia nina ugua kama huyo mleta uzi?

Nyie mmejiunga juzi tu mnajifanya wajuzi hamjui humu watu wametibiwa magonjwa na wakapona na kuna madokta tunajua wako humu wameacha kupost sababu ya viccoment vyenu vya kitoto?

Heshimu maoni ya watu. Kama huna msaada unaoweza kumpa unaweza kupotezea tu. Siyo unaleta hisia zako juu ya nn apost na nn asipost
Juzi unaijuwa wewe? Au unaongea sababu ya kuona raha ya kupakatwa.

Ukiumwa na magonjwa ya siri muone daktari.

Kama umejiunga jf zamani ndy uwe pimbi kiasi hicho?
 
Juzi unaijuwa wewe? Au unaongea sababu ya kuona raha ya kupakatwa.

Ukiumwa na magonjwa ya siri muone daktari.

Kama umejiunga jf zamani ndy uwe pimbi kiasi hicho?
Hii comment yako inaprove nilichoandika. You seems to very insecure.....Happy to know your mental health!
 
Wewe ndiyo maana mwanamke wako hataki kushiriki na wewe ngono (upo uzi wako humu ukimlalamikia kwa hilo) cha kufanya wahi matibabu na yeye pia akatibiwe muwe salama na mfunge ndoa muache kuzini zinaa siyo nzuri ni chukizo na inafukuza baraka.

khaaa ila watu mnajua kuunganisha matukio
 
Sijapenda watu walivoleta matani kwenye jukwaa muhimu kama hili,. Sijajua ndugu zangu mmekuzwa malezi gani.

Pole ndugu hiyo ni scabies. Inaambukizwa kwa kugusana tu akipata mmoja kwenye familia au gheto lazima wote muende nao.

Dawa yake ni Scaboma cream. Ivermectin au unaweza kutumia Benzyl benzoate lotion. Unapaka mara moja mwili mzima. Itabidi ufue nguo zote unazovaa na mashuka kwa maji ya Moto kuua vijidudu hivyo.

Pia Kula vitunguu swaumu vinasaidia kuondoa muwasho kwa haraka sana.
Pole ndugu
 
Binafsi sizani kama ni vizur kuongelea sana size ya maumbile ya muhusika, hatujui umri wake hatujui picha alipiga muda gani nk. Tumpe ushauri mengine hayatuhusu
 
Msaada wakuu vinawasha kinoma na nikijikuna sana vinatoa maji na vinachubuka sio poa ndugu zanguni msaada nn solutions

Mkuu umepata suluhu ya tatizo lako? Mana na mimi nimepata tatizo kama lako sema mim na mwili unawasha sana, tena sehemu ya uume ndiyo inawasha zaidi, yaani najikuna hatari. Nimetumia dawa ya aleji (NEOLOR), Erythrokant pamoja na Cream ya Elocom. Lakin bado nawashwa sana. Jamani mwenye ujuzi naomben msaada wenu
 
Hii yako isije ikawa Ni reaction ya kitu ulichokula yaani kitu ambacho una allergy nacho.

Hebu kumbuka Kama umekula samaki wa maji baridi Jana au juzi, au umeshika paka au umekunywa energy drink au Kama umekwenda porini ukagusa majani fulani.

Au Kama hivi karibuni ulitembea peku peku na slayqueen mgeni kwako. Maana Kama sio allergy au VD Basi huyu mama wa nyumba ya tatu muangalie sana. Hapendi maendeleo yako.
 
Sijapenda watu walivoleta matani kwenye jukwaa muhimu kama hili,. Sijajua ndugu zangu mmekuzwa malezi gani...
Mkuu kweli ni scabies, dawa yako ya vitunguu swaumu imeondoa mwasho wote na sasa naweza kulala, kesho ntaitafuta scaboma kama ulivyoshauri. Jf safi sana
 
Back
Top Bottom