Mjadala: Nini chanzo na tiba ya tatizo la upele kuota kwenye uume?

Wewe ndiyo maana mwanamke wako hataki kushiriki na wewe ngono (upo uzi wako humu ukimlalamikia kwa hilo) cha kufanya wahi matibabu na yeye pia akatibiwe muwe salama na mfunge ndoa muache kuzini zinaa siyo nzuri ni chukizo na inafukuza baraka.
 
Mr Zaburi 23 Kama Kuna mwanamke alikuambiaga unamuumiza na hicho kidole Cha mtoto ujue alikua anakulia pesa yako bure.
Aisee. Naona ulivaa kondom ikachomoka kwa wembamba huo ndio maana umepata huo mkanda wa jeshi almaaruf shingles..

Nilipoona picha tu niliwaza huyu mtu asaidike haraka, sasa nashangaa kuna watu comment ya kwanza tu yeye saikoloji yake imempeleka kwenye hii ni ndogo. Tatizo hujaliona, umeona udogo sijui haitoshi🤣. Kuna matatizo ya msingi yapo ila hujayaona, akili yako imetafsiri mtu kuingiliwa na kitu kidogo kisichotosha.

kwanini maumbile yanakugusa mpaka haoni tatizo halisi unaona ukubwa wa umbile yake? Kwani Hii information uliyompa inaondoa hivyo vipele?
 
Hujamsaidia bado toa ushauri mengine achana nayo!Unaonekana mzoefu kiasi unaweza kujua size ya kitu hata kwa picha tu.
Umekuja kutetetea pili pili mbuzi kwa ID ingine.

ungepiga na ile picha ya sehemu ya upande wa pili au vipele vimepona?
 
aise nimecheka sana. Sio vizuri mwanaume ku discuss mjululu wa mwanaume mwenzetu ila jamaa itoshe kusema ana pilipili manga

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu sio kama nam diss uume wa jamaa,,

Bali hawa jamaa wanaorusha uume humu javini nawashangaa sn.

Hivi humu utapata msaada gani zaidi ya kwenda hospital?
Unajisikiaje kurusha uume mbele ya wanaume wenzio?

Ukumbuke pia humu kuna wanawake pia,
Tena watu rika na.jinsia tofauti.

Je ni lini mwanamke humu karusha uke wake kwamba anaumwa sehem za siri?
Mbona kila siku idadi ya madume yanayotuma pili pili mbuzi inaongezeka?
Mbaya zaidi tatizo ni hilo hilo moja la vipele kwenye uume,
Wanatudhalilisha sn wanaume kwa upumbavu wao.
Kama anaumwa aende hospital,,
Mbona wakitokwa na vinyama vya tundu ya nyuma hawarushi picha?
Waturushie na hizo tuone pia,,

Waache upuuzi..
 
Hivi hii imekaaje mtu kutuma picha zake za utupu mtandaoni kwa madai eti anaomba msaada wa tatizo lake ?? .. madaktari mbona wengi kwanini usiende ukawaelezea shida yako wakakutibia, wakuu fake ID's zisitufanye tuvuke mipaka .. mods pia mnaweza kufanya kazi yenu ..


POVU RUKSA!
Halafu huwa najiuliza hivi wanawake hawaumwi sehem za siri?
Mbona hawajawahi kutuma humu?

Kila siku ni wimbi la wanaume kutuma ngogwe zao humu.
Halafu kuna madume yana suport kabisa .

Aibu nimeona mm
Khaaa!!
 
Mkuu sio kama nam diss uume wa jamaa,,

Bali hawa jamaa wanaorusha uume humu javini nawashangaa sn.

Hivi humu utapata msaada gani zaidi ya kwenda hospital?
Unajisikiaje kurusha uume mbele ya wanaume wenzio?

Ukumbuke pia humu kuna wanawake pia,
Tena watu rika na.jinsia tofauti.

Je ni lini mwanamke humu karusha uke wake kwamba anaumwa sehem za siri?
Mbona kila siku idadi ya madume yanayotuma pili pili mbuzi inaongezeka?
Mbaya zaidi tatizo ni hilo hilo moja la vipele kwenye uume,
Wanatudhalilisha sn wanaume kwa upumbavu wao.
Kama anaumwa aende hospital,,
Mbona wakitokwa na vinyama vya tundu ya nyuma hawarushi picha?
Waturushie na hizo tuone pia,,

Waache upuuzi..
si ndio hapo, wanawake hawatumi kabisa. Alafu kila siku tunashauriwa humu tuache kwenda kavu hatusikii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom