Nasumbuliwa na fangasi sehemu za siri, hamna dawa ambayo sijatumia

Nakushauri tafuta dawa moja ya Kimasai, inaitwa Oltemwai. Inakuwa kama mafuta hivi, paka hiyo. Usiache kuleta mrejesho. Ulizia mmasai yeyote anaijua. Ukishindwa kabisa unaweza wasiliana nami nikutumie.
 
Nimepata somo shida itaisha kabisa now sasa napaka deto nikioga inanisaidia kidogo but ntaanza matibabu niliyojifunza leo kesho mkuu niombee nipone nikukaribishe nyumban
Nikuombee naumwa?

unikaribishe nani kakwambia mi na uchafu tunapatana?
 
Oh no! Kitunguu swaum upake kwenye pumbu erosion, i see humpendi huyo unayemshauri! Mwambie ajirekodu video akigusa tu na kitunguu swaum chake kilichopondwa kwenye pumb!
Kasema kitunguu swaum anywe Sio ajipake.

Alovera ndio ajipake.
 
Wakuu mnisamehe bure mwandiko wangu sio mzuri sana, mwenye Lengo la kunisadia anisaidie tu kama Kanielewa.

Ni hivi wakuu? Eti wapi Chimbuko La dawa za asili yaani ni sehemu gani mkoa gani au ni kijiji gani ambako Ni kuna wataalamu wa Dawa za asili Nikiwapata hao Tatizo Langu Linaweza Likaisha maana hospital nimechemka.

Wakuu nasumbuliwa na Fangasi Sehemu za siri yaani ni muwasho Kukauka kwa ngozi ya Korodani, muwasho wa mapajani Yaani ni muwasho Usio wakawaida. Hamna dawa ambayo sijatumia kama ni hospital nishaenda zaidi ya Kumi tena Kubwa.
NDUGU ACHA KUPIGA NYETO KWA MATE..! 😟
 
Hii ipoje mkuu nilitaka kujaribu
Yaani hiiiiiíiiiiiiiiii 😂😂😜!
acha kumkatisha tamaa, ibume vipi, hizo dawa kwa fangus Ni nzuri
I see siyo kwa pumb erosion! kanunu
Yan kila siku na nunua tubes za kupaka nisipopaka hata kujiangalia naogopa
Kanunue athletic foot powder pharmacy! Ila upunguze na uchafu ndugu kah!
Fuatilia uzi huu uelimike huku ukiburudika: "ifahamu pumbu erosion"!
 
Nimepata somo shida itaisha kabisa now sasa napaka deto nikioga inanisaidia kidogo but ntaanza matibabu niliyojifunza leo kesho mkuu niombee nipone nikukaribishe nyumban
Dettol acha utarudi unalia dogo!
 
Wakuu mnisamehe bure mwandiko wangu sio mzuri sana, mwenye Lengo la kunisadia anisaidie tu kama Kanielewa.

Ni hivi wakuu? Eti wapi Chimbuko La dawa za asili yaani ni sehemu gani mkoa gani au ni kijiji gani ambako Ni kuna wataalamu wa Dawa za asili Nikiwapata hao Tatizo Langu Linaweza Likaisha maana hospital nimechemka.

Wakuu nasumbuliwa na Fangasi Sehemu za siri yaani ni muwasho Kukauka kwa ngozi ya Korodani, muwasho wa mapajani Yaani ni muwasho Usio wakawaida. Hamna dawa ambayo sijatumia kama ni hospital nishaenda zaidi ya Kumi tena Kubwa.
Ngoja nikujibu once and for all:
Nenda pharmacy, nunua mycota powder, upake/mwagia powder hiyo kwenye korodani/pumbu mpaka katikati ya makalio na hata sehemu zote za siri ukiwa umelala chali na hata kujibinua mara baada ya kuoga na kupakausha kwa taulo au kitambaa kikavu! fanya hivyo asubuhi na jioni kila siku. Mwagia pia kwenye chupi iliyosafi na uivae. Zingatia usafi: usirudie kuvaa chupi ileile mara unapooga na kupata hiyo powder! Hata kitambaa au taulo unayotumia kujifutia ifuliwe na ikaushwe na kupigwa pasi kabla haijatumika kwa mara nyingine! Oga maji ya vugu vugu maana ya baridi hukakamaza ngozi ya pumbu na kusababisha maumivu makali sana!
Utakuwa ahueni ndani ya siku mbili! Ila unashauriwa uendelee kupaka wiki 2 baada ya kujiona umepona kabisa ili kuepuka kujirudia kwa maambukizi!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom