Nasumbuliwa na fangasi sehemu za siri, hamna dawa ambayo sijatumia

I can advice,

Jaribu dawa ya meno Whitedent Herbal. Ile ya kijani. Paka twice per day mpaka upne tatizo linapungua.

NB: kabla ya kupaka oga kwanza na ukauke.

I wish you quick recovery
Bila shaka wewe ni mdau wa boarding school, mwamba anasumbuliwa na kitu tuliita pumbu erossion
 
Wakuu mnisamehe bure mwandiko wangu sio mzuri sana, mwenye Lengo la kunisadia anisaidie tu kama Kanielewa.

Ni hivi wakuu? Eti wapi Chimbuko La dawa za asili yaani ni sehemu gani mkoa gani au ni kijiji gani ambako Ni kuna wataalamu wa Dawa za asili Nikiwapata hao Tatizo Langu Linaweza Likaisha maana hospital nimechemka.

Wakuu nasumbuliwa na Fangasi Sehemu za siri yaani ni muwasho Kukauka kwa ngozi ya Korodani, muwasho wa mapajani Yaani ni muwasho Usio wakawaida. Hamna dawa ambayo sijatumia kama ni hospital nishaenda zaidi ya Kumi tena Kubwa.
Infection ya Fungus inatakiwa kuwa confirmed na KOH culture
You have Lichen Sclerosus
Tumia
Clobetsaol ointment apply twice in vaseline
Predinisone 10mg once for 2 weeks
Cetrizine 10mg once daily
Isotretinoin cream once daily
 
Scabies hii
 
Dogo dawa ya fungus iwe kwenye miguu au katikati huko ikulu ni rahisi sana.
Nunua hizi perfume cheap za kichina Kama BOSS au GALAXY . Oga jifute vya kutosha, ingia chumbani kwako funga mlango, vua nguo zote halafu pulizia sehemu zote hata huyo Mnikulu hapo ikulu na hivyo viroba, pulizia kabisa. Panua miguu ili sehemu husika ikauke bila kugusana. Tulia muda wa nusu saa.
Thank me before you put on your boxer.
 
Kama ujapata tiba bado hii inawezekana ikakusaidia, Mimi nilisumbuliwa na hawa fangasi zaidi ya miezi minne na nilikuwa nawashwa Sana nashukuru sahivi naweza kusema nimepona kabisa, japo hii dawa inauma kidogo pale unapoipaka na Kama ukiweza paka mara mbili Kwa siku.

Tafuta ndimu na tangawizi.
Saga tangawizi kipande cha kawaida Tu (maana inakubid usage mpya kila baada ya siku mbili uwe natengeneza mpya)
Baada ya kuisaga ichanganye na ndio hapa upate Yale Maji Maji ya ndimu mengi kwahiyo weka hata ndimu Kama kubwa mbili Kama ndogo 3, kisha paka kwenye sehem husika ambazo zimekuwa na fangasi.

Paka adi utapoona zimeacha kabisa lakin mwanzo muwasho utapotea Ila makovu Yale ya fangasi yatabak kidogo Ila yatapotea badae.

Sent from my M2003J15SC using JamiiForums mobile app
 
Infection ya Fungus inatakiwa kuwa confirmed na KOH culture
You have Lichen Sclerosus
Tumia
Clobetsaol ointment apply twice in vaseline
Predinisone 10mg once for 2 weeks
Cetrizine 10mg once daily
Isotretinoin cream once daily
Hiki kipimo ni tofauti na Blood Clotting? Make mm niliwahi kupima hiki cha kuotesha wadudu kwenye damu. Majibu baada ya wiki. Ila majibu yalionesha negative. Japo fangas nilikuwa nazo.
 
Tafuta dawa za fungus za kumeza, mara nyingi wenye kuzifahamu vizuri hizi ni dermatologists. Hakikisha na mwenza wako anatibiwa na ikiwezekana acheni sex kipindi cha matibabu.

Jikaushe vizuri baada ya kuoga na taulo ulianike juani. Ikiwezekana ukipona nunua mataulo na boxers mpya.
Unakuta wanashare mataulo, na kuvaliana boxer. Hapo lazima hilo gonjwa walilambe wote.

Mambo ya kutokujitunza afya ya mwili huwa yana hasara nyingi sana katika mahusiano.

Hapo unakuta kuna m'moja hatulii kutwa kucha anazurura huko nje na kukutana na watu tofauti matokeo yake anamletea mwenzake vimelea vya magonjwa.
 
Kwanza tuanze na nguo zako za ndani.....uwe unazianika nje juani....usitumie nguo za ndani miaka 2 au 3....jitahid kila baada ya miez 6 unanunua mpya........ wakati unatibu fungus mpenz wako nae anatakiwa azitibu pia.......dawa za asili ninazojua chukua machuma nguo osha vzuri chemsha yakipoa chuja uwe unajitawazia asubui, mchana, jion...... nyingine muda unataka kulala uwe unachukua maji unaweka kwenye beseni unayalaza nje usiku mzima bila kufunika.....asubui ukiamka unajitawazia....... Kingine mchaimchai unachemsha vzuri unachuja unakunywa asubui, mchana, jion.......jitahid sana kabla ya kutumia choo kiwe Safi na kujikausha vzuri sana baada ya kujisafisha..... kubadilisha nguo za ndani mara kwa mara.........kunywa maji mengi ....na kumaliza dose za hospital ....... tofauti na hvo utapona fungus kabisa
 
Dogo dawa ya fungus iwe kwenye miguu au katikati huko ikulu ni rahisi sana.
Nunua hizi perfume cheap za kichina Kama BOSS au GALAXY . Oga jifute vya kutosha, ingia chumbani kwako funga mlango, vua nguo zote halafu pulizia sehemu zote hata huyo Mnikulu hapo ikulu na hivyo viroba, pulizia kabisa. Panua miguu ili sehemu husika ikauke bila kugusana. Tulia muda wa nusu saa.
Thank me before you put on your boxer.
Haahaha kuna dawa nyingine zinachekesha sana.
 
Wakuu mnisamehe bure mwandiko wangu sio mzuri sana, mwenye Lengo la kunisadia anisaidie tu kama Kanielewa.

Ni hivi wakuu? Eti wapi Chimbuko La dawa za asili yaani ni sehemu gani mkoa gani au ni kijiji gani ambako Ni kuna wataalamu wa Dawa za asili Nikiwapata hao Tatizo Langu Linaweza Likaisha maana hospital nimechemka.

Wakuu nasumbuliwa na Fangasi Sehemu za siri yaani ni muwasho Kukauka kwa ngozi ya Korodani, muwasho wa mapajani Yaani ni muwasho Usio wa kawaida. Hamna dawa ambayo sijatumia kama ni hospital nishaenda zaidi ya Kumi tena Kubwa.
Mkuu pole kwa hayo maradhi yako kama hujapona nitafute ili nipate kukutibia amradhi yako upate kupona.
 
Wakuu mnisamehe bure mwandiko wangu sio mzuri sana, mwenye Lengo la kunisadia anisaidie tu kama Kanielewa.

Ni hivi wakuu? Eti wapi Chimbuko La dawa za asili yaani ni sehemu gani mkoa gani au ni kijiji gani ambako Ni kuna wataalamu wa Dawa za asili Nikiwapata hao Tatizo Langu Linaweza Likaisha maana hospital nimechemka.

Wakuu nasumbuliwa na Fangasi Sehemu za siri yaani ni muwasho Kukauka kwa ngozi ya Korodani, muwasho wa mapajani Yaani ni muwasho Usio wa kawaida. Hamna dawa ambayo sijatumia kama ni hospital nishaenda zaidi ya Kumi tena Kubwa.
ulitumia fluconazole ile ya drip? Tafuta dose ya fluconazole ile ya kuchoma kwenye mishipa. Alafu kuwa msafi boxer zako zote za zamani Choma zote nunia mpya
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom