Nasubiri ukusanyaji wa shilingi trilioni 29.5 za Bajeti

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
48,691
149,913
Bunge limeisha sasa tusubiri utekelezaji wa Bajeti ya serikali hii ambayo imelenga kukusanya jumla ya shilingi trilioni 29.5 kutoka vyanzo mbalimbali.

Tunasubiri utekelezaji hatusubiri visingizio.
 
Unasubiri wapi sasa, airport au stendi ya basi? Bongo bana, kila mtu ni kambale na sharubu zake.
 
Haitekelezeki......mpaka mkulu apande ndege na bakuli,nusu ya bajeti ni kwa ajili ya kuombaomba,beggars diplomacy
 
mkuu mbona kama unajiondoa na kusikilizia wateleza ilihali na wewe ni mtz?
 
Bunge limeisha sasa tusubiri utekelezaji wa Bajeti ya serikali hii ambayo imelenga kukusanya jumla ya shilingi trilioni 29.5 kutoka vyanzo mbalimbali.

Tunasubiri utekelezaji hatusubiri visingizio.
Ingekuwa vizuti mkaacha maandamano mkafanya kazi huku mkisubiri hayo mafanikio
 
Bunge limeisha sasa tusubiri utekelezaji wa Bajeti ya serikali hii ambayo imelenga kukusanya jumla ya shilingi trilioni 29.5 kutoka vyanzo mbalimbali.

Tunasubiri utekelezaji hatusubiri visingizio.
Ulivyo mchuro unaombea zisipatikane, kalaga baho!
 
Tayari malumbano ya tra ,benki kuu,mabenki,kampuni za simu yameanza
 
Back
Top Bottom