Nasubiri uchambuzi wa Dr Mwigullu Nchemba kuhusu hali ya Uchumi nchini hawa " wengine" wanapiga siasa tu

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,615
141,439
Zitto huwa namwamini kwa kiasi kikubwa kutokana na tafiti zake, chambuzi zake na namna anavyowasilisha mada na maono yake.. Zitto amezungumzia ripoti ya IMF lakini bado sijaona uchambuzi wake.

Nina imani CCM itamkabidhi mikoba Daktari wa Uchumi Mwigullu Nchemba aweze kulifahamisha taifa namna Uchumi wetu unavyoenenda.

Uchumi ni mambo ya kitaalamu zaidi si kila mtu anaweza kuchambua......pale CCM kwa hakika simuoni wa kumzidi Dr Mwigullu kwa sasa.
Pale Chadema simuoni yeyote.......labda kwa mbali yule Prof Lipumba wa Cuf kwa niaba ya UKAWA.

Maendeleo hayana vyama!
 
Mtu Yoyote Mwenye Akili Timamu Wala Haitaji Kuambiwa Na Mtu Mungine Kujua Hali Tunayopitia Kama Taifa.
Hakika Taifa Linapitia Nyakati Ngumu Kwa Sasa Full Stop!!.
Toa mfano wa hali ngumu unayopitia wewe binafsi!
 
  • Thanks
Reactions: Oii
mh mwigulu hizo sio siasa zake yule alijengwa kimkakati katika siasa fulan ambazo chadema walipata sana tabu 2010 -2015 sasa hizi za kiuchambuzi yeye haziwez aachiwe zitto vilevile CCM kuna vichwa vingi sana sema vioga kukosea
 
Mwigulu ni mtumwa wa madaraka, hata akiamua kuchambua uchumi sasa, hitimisho lake litakuwa ni kumfurahisha rais ili ampatie madaraka tena. Huyo Mwigulu ni baadhi ya viongozi waliofanya ukatili nchi hii kwa kiburi cha madaraka, hivyo anapokosa madaraka network zake zote zinakata na hawezi kuchambua lolote zaidi kuonyesha sura ya huruma ili apewe madaraka.
 
Mwenzio hana uhakika wa ubunge 2020 wewe ati unataka achaumbue uchumi - si uchokozi huo
 
Back
Top Bottom