jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 35,052
- 28,242
Kwa kuwa USA inajali sana mambo yanayoendelea Tanzania ni vyema ikatoa pole kwa Serikali ya Tanzania baada ya kutokea maafa ya watu wapatao 40 moja ikiwa imesababishwa na mvua kubwa na jingine ikiwa ni mkanyagano wa watu wakitoka kwenye ibada(stampade).
Zitto tusaidie kuandaa barua ya kuwaomba waoneshe utu.
MY TAKE:
Anayewajali wananchi ni Serikali ya CCM na hakuna mgeni au kibaraka atakayewajali wananchi pindi tutakapopata majanga.
Zitto tusaidie kuandaa barua ya kuwaomba waoneshe utu.
MY TAKE:
Anayewajali wananchi ni Serikali ya CCM na hakuna mgeni au kibaraka atakayewajali wananchi pindi tutakapopata majanga.