moyafricatz
JF-Expert Member
- Nov 27, 2015
- 2,900
- 4,865
Hizi tabia za kike..
Acha dharau mjomba hapa sio pangoniNadhani Zito alimaanisha kuwa Ngerengere kuna, Vifaa yaani Makomandoo wa kutosha kuokoa ndugu zetu fasta bila kuchoka katika mazingira yoyote.
Madhani ndio maana yake.
Tusipende sana kukuza vitu vidogo ili tu kujenga mtafaruku . Hakuna siri yoyote iliyovuja kokote.
Jeshi letu lipo imara haliwezi kupata tishio kwa kauli nyepesi kama hiyo ya Zito tena ya kulisifu.
Na pia karne hii hakuna adui tena anayehangaika na silaha mdogo ndogo .
Jeshi duniani lipo Magharibu ,yaani Marekani na Washirika wake na Mashariki ,yaani China ,Urusi na Korea ya Kaskazini. Hao ndio matishio ya usalama wa dunia. Hao wengine ni njaa tu hakuna mtu wa kuingia gharama kuvamia nchi nyingine wakati uchumi wake ni tia maji tia maji.
Majeshi mengine duniani hasa kwenye nchi changa ni ya kusimamia uchaguzi,kusindikiza masanduku ya kura tu na kurusharusha kichura raia wao ambao ni walipa kodi kichura!Wasubiri wanasiasa wanasemaje.