Nasubiri kwa hamu maswali ya papokwapapo bungeni kwa Mtoto TAJIRI!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nasubiri kwa hamu maswali ya papokwapapo bungeni kwa Mtoto TAJIRI!!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Yericko Nyerere, Jun 22, 2011.

 1. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #1
  Jun 22, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,250
  Likes Received: 3,863
  Trophy Points: 280
  Sipati picha, kichwa kitakuwa kinamuuma kila akifikiria kuwa ataulizwaje! Nahisi atakuwa anayaomba majini yake yamsaidi Lissu asiulize swali! Urudishwaji wa Mashangingi roho inamuuma sana!!Ndugu mwana jf unadhani nini kitatokea? Je moyo wa mtoto wa mkulima aliyegeuka uzeeni na kuwa tajiri mkubwa unahangaikaje?Naleta hoja!!
   
 2. itnojec

  itnojec JF-Expert Member

  #2
  Jun 22, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 2,191
  Likes Received: 223
  Trophy Points: 160
  hujaskia, kesho hamna maswali ya papo kwa papo kwa waziri mkuu...wamempa muda ajiandae na hotuba.
   
 3. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #3
  Jun 22, 2011
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Sijui kwa nini wamemuokoa. Si wangeacha atwangwe maswali achanganyikiwe afute jasho kisha atoe hotuba yake!!
   
 4. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #4
  Jun 22, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,250
  Likes Received: 3,863
  Trophy Points: 280
  Nashukuru kwa taarifa! Japo nasikitika najua huo ni ujanjaujanja wa magamba umetumika!!
   
 5. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #5
  Jun 22, 2011
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Hata hivyo spika angemlinda.
   
Loading...