Vikao vya Harusi
JF-Expert Member
- Sep 19, 2012
- 512
- 140
Ulilazimishwa kuingia kwenye siasa
Ni ukweli usiopingika,Kikwete,kwa mamlaka aliyonayo,amevipa vyama vya upinzani sauti,mitu kilichofanya wananchi kuchagua njia iliyo sahihi kati ya chama tawala na upinzani
Matunda ya uhuru huo wameyapata sana CDM,maana alipoingia 2005 idadi ya wawakilishi wa CDM ilikuwa ndogo sana ukilinganisha na hii ya baada ya uchaguzi mkuu wa 2010
"Mwanadamu ana asili ya kusahau mema 99,na kukumbuka baya 1"
CHANGE"
Watu wengine nao ni Jf member
hata kama atakuja baba yako kimbunga hiki huwezi kuzuia then kachukue buku 8 Lumumba.
Dah hili ni tusi, nae akiamua kukujibu kwa tusi patakalika hapa yaani nyie, hizi siasa CCM na CDM zinawapandisha munkali hivi.hata kama atakuja baba yako kimbunga hiki huwezi kuzuia then kachukue buku 8 Lumumba.