Nasubiri kuona rais ajaye kufanya alichofanya j.k

Ni ukweli usiopingika,Kikwete,kwa mamlaka aliyonayo,amevipa vyama vya upinzani sauti,mitu kilichofanya wananchi kuchagua njia iliyo sahihi kati ya chama tawala na upinzani

Matunda ya uhuru huo wameyapata sana CDM,maana alipoingia 2005 idadi ya wawakilishi wa CDM ilikuwa ndogo sana ukilinganisha na hii ya baada ya uchaguzi mkuu wa 2010

"Mwanadamu ana asili ya kusahau mema 99,na kukumbuka baya 1"

CHANGE"

hata kama atakuja baba yako kimbunga hiki huwezi kuzuia then kachukue buku 8 Lumumba.
 
Dah hili ni tusi, nae akiamua kukujibu kwa tusi patakalika hapa yaani nyie, hizi siasa CCM na CDM zinawapandisha munkali hivi.
 
Ni ukweli usiopingika,Kikwete,kwa mamlaka aliyonayo,amevipa vyama vya upinzani sauti,mitu kilichofanya wananchi kuchagua njia iliyo sahihi kati ya chama tawala na upinzani

Matunda ya uhuru huo wameyapata sana CDM,maana alipoingia 2005 idadi ya wawakilishi wa CDM ilikuwa ndogo sana ukilinganisha na hii ya baada ya uchaguzi mkuu wa 2010

"Mwanadamu ana asili ya kusahau mema 99,na kukumbuka baya 1"

CHANGE"

Mabadiliko yanapo chukua nafasi,hakuna wa kuyazuia,ndiyo awe kikwete. Wewe probably una matatzo ya akili maana ulichoandika hujashirikisha akili.
 
Kumbe siku hizi kuna watu bado wanataka kutumia type-writter badala ya computer!?!!!!,

pia kama una mawazo hata ya kutotaka kubadilisha mwonekano wa sebure yako, ujue una mawazo mfu kama ya,huyu mleta uzi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom