Uchaguzi 2020 Nasubiri ile Kamati imkaripie Mchungaji Katunzi kwa kumpigia kampeni Magufuli

Shift

JF-Expert Member
Oct 3, 2014
1,078
2,148
Nasikiliza mahubili ya Mchungaji Katunzi muda huu hapa Upendo Radio kipindi ambacho kilirekodiwa siku ya ibada juzi.

Anasema Magufuli aritoa sadaka Corona ikatoweka kwahiyo atasimama na Magufuli hata kwenye uchaguzi guu maana hakuna MTU muzuri kama Magu.

Hii ni sehemu tu ya alichokiongea ila aliendelea kuwaponda na Maaskofu wariofunga makanisa msimu wa Corona.

Kwa kuzingati ujumbe wa juzi wa kamati ya Amani kuhusu watumishi kuhubiri siasa makanisani nashauri huyu naye akemewe kama mlivymkemea na kumtusi Mwingira.

Sikiliza kuanzia dakika 45

Anasema Magufuri aritoa sadaka Corona ikatoweka kwahio Atasimama na Magufuri hata kwenye uchaguzi guu maana hakuna MTU muzuri kama Magu.

Hii ni sehemu tu ya alichokiongea ila aliendelea kuwaponda na Maaskofu wariofunga makanisa msimu wa Corona.

Kwa kuzingati ujumbs wa juzi wa kamati ya Amani kuhusu watumishi kuhubiri siasa makanisani nashauri huyu nae akemewe kama mlivymkemea na kumtusi Mwingila
Sikiliza kuanzia dakika 45

Wachungaji wote matapeli, wachumia tumbo, na wajanja wajanja wamejificha kwa Magufuli. Huu ndio ukweli. anayetaka kuthibitisha na afanye uchunguzi. Lusekelo tapeli, gamanywa tapeli, katunzi tapeli...orodha ni ndefu. Lakini kipimo cha kumfahamu mchungaji tapeli ni mahusiano yake na siasa za bongo!
 
Nasikiliza mahubili ya Mchungaji Katunzi muda huu hapa Upendo Radio kipindi ambacho kilirekodiwa siku ya ibada juzi.

Anasema Magufuli aritoa sadaka Corona ikatoweka kwahiyo atasimama na Magufuli hata kwenye uchaguzi guu maana hakuna MTU muzuri kama Magu.

Hii ni sehemu tu ya alichokiongea ila aliendelea kuwaponda na Maaskofu wariofunga makanisa msimu wa Corona.

Kwa kuzingati ujumbe wa juzi wa kamati ya Amani kuhusu watumishi kuhubiri siasa makanisani nashauri huyu naye akemewe kama mlivymkemea na kumtusi Mwingira.

Sikiliza kuanzia dakika 45

Kamati ya kinafiki
 
Nani wa kumfunga paka kengele?

Hata waganga wa kienyeji walifanyakazi yakutupa majani yakujifukiza sasa sijui Katunzi anawapa tuzo Gani?
 
Nayapenda mahubiri yake lakin kwa huu undezi wa kuwatetea hawa maharamia wa kijani, natangaza rasmi kuacha kumsikiliza
 
Mimi nilikua sikosi mahubiri yake kila jumapili usiku radio wapo na Alhamis radio Upendo, sasa ndio nikasikia huu upupu wake. Nimefazaika sana
 
Back
Top Bottom