Nassoro MWANAMBOKA Huyu Jamaa Nai Nani Hasa??

Grand Master Dulla

JF-Expert Member
Jul 20, 2012
411
146
nilipata kusikia kati ya wa2 masharo baro wa magomeni na kinondoni huyu jamaa alikuwapo miaka hiyo ya 90's ila kwa kweli mi sijui huyu jamaa sifa yake ilikuwa ni nini hasa,kwa wanaomjua tunaomba mtujulishe mambo ya miaka hiyo na
sifa zake zilizomfanya asifike.Halafu swali jingine hivi huyu na khadija mwanamboka ni baba moja mama moja?? mana majina yana fanana.
Halafu tuamieni jamani vitu vilivyoifanya kinondoni iitwe college enzi hizo ni zipi??
 
best hawa watu wa enzi hizo unaandika kitabu kuwahusu?yani thread zako zzzoozte we ni nani huyu flani,nani sijui huyu!lol!mi najaribu kukusoma kama sikuelewi vile!no offence lakini!
 
best hawa watu wa enzi hizo unaandika kitabu kuwahusu?yani thread zako zzzoozte we ni nani huyu flani,nani sijui huyu!lol!mi najaribu kukusoma kama sikuelewi vile!no offence lakini!

hamna snowhite mi nataka tushee tu baadhi ya vitu tulivyokuwa tunavimiss zamani wasiojua wajue na kujifunza ya kujifunza.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom