Ndumbayeye
JF-Expert Member
- Jan 31, 2009
- 7,333
- 3,896
ukiwa mbunge wa chadema lazima usiwe lege lege!
Nimesikitishwa na kauli ya Mhe Nasari juu ya kanda ya kasikazini kujimega kutoka jamhuri ya muungano wa Tanzania. Japo Mhe Mbowe alishtuka kuvuja kwa siri hiyo na kujaribu kui-neutralize kwa kumpinga Nasari kisanii jukwani, ukweli unabaki palepale kuwa CHADEMA ina lengo mahsusi la kuimega nchi hii katika vipande vipande kwa malengo ambayo hayako bayana sana kwa watanzania wengi zaidi ya echelon ya CHADEMA na tajiri wao SABODO. Naanza hata kutilia shaka sera yao ya majimbo ambayo niliikubali sana, nakushukuru sana mhe. Nasari kwa kutujuza watanzania wenzako what chadema stands for!
Junior Member Array
Join Date : 8th May 2012
Posts : 1
Rep Power : 0
Likes Received0
Likes Given
Bisha hodi kwanza..........................., nakukaribisha jamvini
Nimesikitishwa na kauli ya Mhe Nasari juu ya kanda ya kasikazini kujimega kutoka jamhuri ya muungano wa Tanzania. Japo Mhe Mbowe alishtuka kuvuja kwa siri hiyo na kujaribu kui-neutralize kwa kumpinga Nasari kisanii jukwani, ukweli unabaki palepale kuwa CHADEMA ina lengo mahsusi la kuimega nchi hii katika vipande vipande kwa malengo ambayo hayako bayana sana kwa watanzania wengi zaidi ya echelon ya CHADEMA na tajiri wao SABODO. Naanza hata kutilia shaka sera yao ya majimbo ambayo niliikubali sana, nakushukuru sana mhe. Nasari kwa kutujuza watanzania wenzako what chadema stands for!
Nimeipenda hii pamoja na comments za Candid Scope.
CDM wasidhani kwa mafuriko waliyopata katika mikutano yao basi watu wengine hawaoni fallacy ya wabunge wao vijana.
Stay tuned , kuna watu wengi zaidi nchini, wenye nchi yao, na ambao wasingependa umoja na utaifa wao ukachezewa na mtu yeyote yule.
Namsifu Mhe Mbowe kwa kuchukua hatua za mwanzo na za haraka kutoa kauli za kusahihisha mawazo potofu yanayotokana na kulewa sifa.
Na hapo ndio nasema CDM lazima wawe na vyuo vyao vya ingalau kuwafundisha makada wao ili wajue siasa ni nini, waweza kuwasha moto kwenye siasa na ukakuwakia na kukuunguza mwenyewe.
Nimesikitishwa na kauli ya Mhe Nasari juu ya kanda ya kasikazini kujimega kutoka jamhuri ya muungano wa Tanzania. Japo Mhe Mbowe alishtuka kuvuja kwa siri hiyo na kujaribu kui-neutralize kwa kumpinga Nasari kisanii jukwani, ukweli unabaki palepale kuwa CHADEMA ina lengo mahsusi la kuimega nchi hii katika vipande vipande kwa malengo ambayo hayako bayana sana kwa watanzania wengi zaidi ya echelon ya CHADEMA na tajiri wao SABODO. Naanza hata kutilia shaka sera yao ya majimbo ambayo niliikubali sana, nakushukuru sana mhe. Nasari kwa kutujuza watanzania wenzako what chadema stands for!
Ukisoma kwen
ye blog ya CHADEMA Chadema Blog inaelekea tatizo la Nassari siyo kauli yake ya kujitenga bali hili:
"Polisi hao wanadai pia kukerwa na maneno ya Nassari aliyemtuhumu mtoto wa Rais, Ridhwan Kikwete, kuwa anawapeleka wasichana rafiki zake kwa baba yake ambaye huwapa vyeo kwa upendeleo"
Sasa turudi kwenye ukaribu wa mkuu wa mkoa wa Arusha na familia!
Nimesikitishwa na kauli ya Mhe Nasari juu ya kanda ya kasikazini kujimega kutoka jamhuri ya muungano wa Tanzania. Japo Mhe Mbowe alishtuka kuvuja kwa siri hiyo na kujaribu kui-neutralize kwa kumpinga Nasari kisanii jukwani, ukweli unabaki palepale kuwa CHADEMA ina lengo mahsusi la kuimega nchi hii katika vipande vipande kwa malengo ambayo hayako bayana sana kwa watanzania wengi zaidi ya echelon ya CHADEMA na tajiri wao SABODO. Naanza hata kutilia shaka sera yao ya majimbo ambayo niliikubali sana, nakushukuru sana mhe. Nasari kwa kutujuza watanzania wenzako what chadema stands for!
Nimesikitishwa na kauli ya Mhe Nasari juu ya kanda ya kasikazini kujimega kutoka jamhuri ya muungano wa Tanzania. Japo Mhe Mbowe alishtuka kuvuja kwa siri hiyo na kujaribu kui-neutralize kwa kumpinga Nasari kisanii jukwani, ukweli unabaki palepale kuwa CHADEMA ina lengo mahsusi la kuimega nchi hii katika vipande vipande kwa malengo ambayo hayako bayana sana kwa watanzania wengi zaidi ya echelon ya CHADEMA na tajiri wao SABODO. Naanza hata kutilia shaka sera yao ya majimbo ambayo niliikubali sana, nakushukuru sana mhe. Nasari kwa kutujuza watanzania wenzako what chadema stands for!
Hii ya Nassari nayo ni Ishu?? Nenda Rombo wao walipandishaga bendera Ya kenya kabisa