Nassari wa Arumeru Mashariki kushtakiwa kwa uhaini? Anatafutwa na Polisi

mmiliki wa club bilicanas kazuga tuh kuufuta msemo huo
lakin haswaa ndio ajenda yao mama hao jamaa,,kama vile ilivokawa kwa cuf
kimtokacho mtu ndio chake hiko
waondoe ukanda mioyoni mwao ili tuwape nchi hii
unless otherwise his state house will be the club which he owns..!

Usimlaumu Mbowe wala Nassari kenge wewe.Hebu kumbuka mwanzo wa kauli hizi"MBEYA NI NCHI,RAIS SUGU" na hii "Tunduma ni Nchi, Rais SILINDE".Sasa hapo mbowe au ukaskazini unatoka wapi wakati origin ya kauli hizi ni Mbeya?. Umekufa wewe,Upo Mochwari unasubiri kuzikwa 2015
 
hahahahaaaa....!
Punguza jazbaa mkuu..
Wewe ni njaa kali kama mimi
ubunge wa nasari,mbowe na zitto
nchi ya jk,pinda na maige
wewe si yakoo,,mimi si yanguuu
chuki ya nini mimi na ww??
Wataka kuniua bure jamaaa
wanasiasa wanakuendesha watakavyo naww umekubali kucheza ngoma yao,,punguza jazba,,shika jembe ukalime hao achana nao
lkn mzee warioba akija na ile kamati ya tume ya katiba urud kutoka shamban uje kuichagua tanzania uitakayo..!unless otherwise kiss ur ass goodbye....!
 
kwanza nianze kwa kusema haya ni maoni yangu.Nassari ni mmoja wa makamanda vijana wanaochipukia,ukweli wewe ni mfano kwa vijana wengine.Nataka nikukumbushe na ujue CDM sio ya kaskazini,siyo ya wameru,siyo ya wachaga ni ya watz wote na ndio maana ipo kila kona,leo kusema arusha mtajitenga na wewe kuwa Rais ni doa na kosa kubwa kisiasa,wapo watakaotuambia tulisema CDM ni ya wachaga,tulisema wanaukabila na udini,tutakataa vipi na wewe umethibitisha?Shukrani kwa MH.Mbowe,umeonesha ukomavu kufuta kauli ile palepale,wafundisheni vijana wasiponzwe na umaarufu waombe ushauri kwenu.
Asante

Hakika nakuunga mkono
 
Hii mada imekuwa ikirudiwa rudiwa mpaka imekuwa kero sasa,hebu wadau tusonge mbele zaidi ya hapa pls mod ondoeni hili sababu lilishatolewa ufafanuzi mara kibao
 
Kauli ya huyu kijana si ya msomi wa chuo kikuu ni kama ya mpiga debe wa daladala

ndio chaguo la mabadiliko hilo
ndio akina lusinde haooo..!
Chademaaaaa...!
Vemaaaaaaa...!
Wakati ujeruman kavunja berlin wall miaka mingi iliyopita kuunganisha ujeruman iliyokatengana leo huyu mpiga debe anakuja kutuhubiria kutengana wap na wap??
Tanzanians we r smarter than that...
 
Ni kweli Nassari aliteteleza, na hata mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe alisimama pale pale na kukiri kuwa bwana mdogo ameteleza. Na akaenda mbele zaidi kwa kusema kuwa huo sio msimamo wa chama. Sasa, sijui kwa nini watu wanang'ang'ania hii hoja hata baada ya kupata ufafanuzi?

Kwa jamii iliyostaarabika, mtu anapojikwaa watu wazima wanasawazisha mambo na maisha yanaendelea. Na hiki ndicho kilitokea Arusha tena pale pale kwenye viwanja vya NMC kwa Mwenyekiti kusawazisha. Polisi walitakaje? Kwamba kama amekosea ajinyonge? Wakati mwingine mambo yanakuzwa kwa sababu binafsi!
 
Kila nikiangalia naona Arusha tu. kila kitu Arusha

Tanzania sio Arusha. Tz imejengwa na Mikoa mingi.

Mikoa hii Chadema sio tu haina Nguvu. lkn haikubaliki kabisa. Kwa chadema hii haifiki mbali

Lindi

  • Wilaya ya Kilwa
  • Wilaya ya Lindi Vijijini
  • Wilaya ya Lindi Mjini
  • Wilaya ya Liwale
  • Wilaya ya Nachingwea
  • Wilaya ya Ruangwa

Kagera

  • Wilaya ya Biharamulo
  • Wilaya ya Bukoba Vijijini
  • Wilaya ya Bukoba Mjini
  • Wilaya ya Chato
  • Wilaya ya Karagwe
  • Wilaya ya Misenyi
  • Wilaya ya Muleba
  • Wilaya ya Ngara

Mtwara

  • Wilaya ya Masasi
  • Wilaya ya Mtwara Vijijini
  • Wilaya ya Mtwara Mjini
  • Wilaya ya Nanyumbu
  • Wilaya ya Newala
  • Wilaya ya Tandahimba
Pwani

  • Wilaya ya Bagamoyo
  • Wilaya ya Kibaha
  • Wilaya ya Kisarawe
  • Wilaya ya Mafia
  • Wilaya ya Mkuranga
  • Wilaya ya Rufiji
Huku chadema ni 0
 
Hivi Sudan kusini mpk kujitenga unadhani ilikuwa ni mawazo ya wote? Maumivu ya kichwa huanza polepole. Kuna kijana mmoja kwenye malumbano ya hoja alisema wao wa Mara wanampango wa kuanzisha nchi kwa mantiki kuwa mwl Jkn alisema kuwa hata yeye hajui asili ya Tanganyika nini. Kwa wasitishie wakubwa nyau.
 
Tafuta mada yenye mashiko acha kurudiarudia vitu ambavyo vimeshadiskasiwa, ndo maana bongo hatuendelei sababu wapuuzi mko wengi tuanze kuwaelimisha alafu ndo tushikamane, sijui tutafika kweli!!!!!
Wajinga wengi duniani.
Kuelimika ni matakwa yako.
Kama mtu ni mjinga na hapendi kusahihishwa sababu ya kukumbatia ujinga basi mtoa posti kama hii sijui tumwiteje.
 
kwanza nianze kwa kusema haya ni maoni yangu.Nassari ni mmoja wa makamanda vijana wanaochipukia,ukweli wewe ni mfano kwa vijana wengine.Nataka nikukumbushe na ujue CDM sio ya kaskazini,siyo ya wameru,siyo ya wachaga ni ya watz wote na ndio maana ipo kila kona,leo kusema arusha mtajitenga na wewe kuwa Rais ni doa na kosa kubwa kisiasa,wapo watakaotuambia tulisema CDM ni ya wachaga,tulisema wanaukabila na udini,tutakataa vipi na wewe umethibitisha?Shukrani kwa MH.Mbowe,umeonesha ukomavu kufuta kauli ile palepale,wafundisheni vijana wasiponzwe na umaarufu waombe ushauri kwenu.
Asante

MKUU KWA HILO NAKUUNGA MKONO 100% HAWA NDUGU ZETU WA KASIKAZINI WANA KOSEA SANA...NAONA IMEFIKIA HATUA WANAONYESHA HISIA ZAO WAZI.UKIJARIBU KUWAKOSOA KWN JF WANAKUJA NA MANENO MACHAFU SANA WANAHISI WENYEWE NI KILA KITU....KUNA KIPINDI WALIKUA WANA MFANANISHA Mh Zitto pmj na ndg Godbless Lema KI SIASA WALIKOSEA SANA BILA ZITTO,Dr Slaa,chacha wangwe na wapganaji wengne pale bungeni tusinge ijua CDM. Leo Lema KUWA MBUNGE IMEONEKANA ARUSHA NDIO SEHEMU CDM INAPOKUBALIKA KULIKO ENEO LOLOTE KTK NCHI HII...HIVI HAWAONI MAPINDUZI YA WANANCHI WA PALE MWANZA ?MI NASEMA HAKUNA SEHEMU CDM ILIPO NA NGUVU KAMA MWANZA...NISINGEPENDA KUSHINDANISHA MAENEO CDM ILIPO NA NGUVU ILA KWA ILI WANA WA KASIKAZINI MNA BOA SANA...MNALETA MGAWANYO WA KICHAMA MAPEMA SANA....MNAONYESHA DHAMIRA GANI JUU YA TZ YA BAADAE.
 
Chadema wamelewa wanachama! Hata hawaogopi kuongea juu ya kuigawa Tanzania mbele ya wanachama wao! Mh! Tutafika kweli!

Kila nikiangalia naona Arusha tu. kila kitu Arusha

Tanzania sio Arusha. Tz imejengwa na Mikoa mingi.

Mikoa hii Chadema sio tu haina Nguvu. lkn haikubaliki kabisa. Kwa chadema hii haifiki mbali

Lindi

  • Wilaya ya Kilwa
  • Wilaya ya Lindi Vijijini
  • Wilaya ya Lindi Mjini
  • Wilaya ya Liwale
  • Wilaya ya Nachingwea
  • Wilaya ya Ruangwa

Kagera

  • Wilaya ya Biharamulo
  • Wilaya ya Bukoba Vijijini
  • Wilaya ya Bukoba Mjini
  • Wilaya ya Chato
  • Wilaya ya Karagwe
  • Wilaya ya Misenyi
  • Wilaya ya Muleba
  • Wilaya ya Ngara

Mtwara

  • Wilaya ya Masasi
  • Wilaya ya Mtwara Vijijini
  • Wilaya ya Mtwara Mjini
  • Wilaya ya Nanyumbu
  • Wilaya ya Newala
  • Wilaya ya Tandahimba
Pwani

  • Wilaya ya Bagamoyo
  • Wilaya ya Kibaha
  • Wilaya ya Kisarawe
  • Wilaya ya Mafia
  • Wilaya ya Mkuranga
  • Wilaya ya Rufiji
Huku chadema ni 0
 
Itakufa kwa sababu haina wafuasi wengi au kwa sababu haiko kwenye hayo maeneo uliyotaja?

CHADEMA kiko Mwanza, Mara, Mbeya, Shinyanga, Iringa, Arusha, Manyara, Kilimanjaro, Singida, Dar es Salaam. Kama unajuwa mahesabu vizuri utagundua kuwa ukishakamata hayo maeneo niliyotaja basi -yametimia.

Na sasa wanajiandaa kuja Lindi, Mtwara etc.
 
huko mmezoea kofia,kanga na fulana za magamba endeleeni kulala wajanja njia nyeupe 2015
 
Kila nikiangalia naona Arusha tu. kila kitu Arusha

Tanzania sio Arusha. Tz imejengwa na Mikoa mingi.

Mikoa hii Chadema sio tu haina Nguvu. lkn haikubaliki kabisa. Kwa chadema hii haifiki mbali

Lindi

  • Wilaya ya Kilwa
  • Wilaya ya Lindi Vijijini
  • Wilaya ya Lindi Mjini
  • Wilaya ya Liwale
  • Wilaya ya Nachingwea
  • Wilaya ya Ruangwa

Kagera

  • Wilaya ya Biharamulo
  • Wilaya ya Bukoba Vijijini
  • Wilaya ya Bukoba Mjini
  • Wilaya ya Chato
  • Wilaya ya Karagwe
  • Wilaya ya Misenyi
  • Wilaya ya Muleba
  • Wilaya ya Ngara

Mtwara

  • Wilaya ya Masasi
  • Wilaya ya Mtwara Vijijini
  • Wilaya ya Mtwara Mjini
  • Wilaya ya Nanyumbu
  • Wilaya ya Newala
  • Wilaya ya Tandahimba
Pwani

  • Wilaya ya Bagamoyo
  • Wilaya ya Kibaha
  • Wilaya ya Kisarawe
  • Wilaya ya Mafia
  • Wilaya ya Mkuranga
  • Wilaya ya Rufiji
Huku chadema ni 0
Maneno ya mkosaji haya....Hivi hii chadema inawanyima raha sana!!? kama si tishio na unajuwa itakufa,sasa presure
ya kuandika hii kitu ni nini? Chadema iko Songea,Shinyanga,Iringa,Mbeya,Kibaha,Dar,Mwanza,Manyara,Arusha,K/njaro
Singida,Kigoma,Rukwa na Ifakara. Je,unalingine?
 
Back
Top Bottom