Nassari kupelekwa KCMC

shiteterande

Member
May 31, 2013
15
2
Imefahamika hali ya Nassari si nzuri kunauwezekano akaenda KCMC. tafadhali kama kunamtu anaweza kutujuza zaidi kuhusu hili.

Mhe. Joshua Nassari leo amefanyiwa CT - Scan kutokana na kipigo alicho kipata kutoka kwa Green Guard(CCM) mbele ya jeshi la polisi, alipokuwa msimamizi mkuu wa uchaguzi mdogo kata ya Makuyuni wilayani Monduli..
View attachment 98056
Mhe. Joshua Nassari akiwa Hospitali ya selian - 17/06/2013
View attachment 98059

Hapo bado kuna watu watakuja na kejeli zao. CCM inabidi wajue tuwa utu una dhamani kuliko pesa
 
Hapo hawawezi kuja na propaganda, mnafikiri akiri ndo hawana kabisa, wachangiaji wa humu jukwani wa ccm wanachofanya ni ushabiki tu, lakini kwa huu upuuzi wakina Mwampamba na Mwigulu wengi wanakwazika japo ni wanaccm
 
Imefahamika hali ya Nassari si nzuri kunauwezekano akaenda KCMC. tafadhali kama kunamtu anaweza kutujuza zaidi kuhusu hili.

Mkuu, taarifa kama hii iliwekwa mapema leo, Mungi akakanusha na kusema hali ya Joshua Nassari sio mbaya kama inavyosemekana. Sijui ule uzi kama bado upo ama la, lakini kama nakumbuka alishatoa tathmini ya hali ya Nassari na kusema ya kuwa tayari alishahamishwa kutoka Babati alipokuwa amelazwa, lakini hali yake inaendelea vizuri.

Ujumbe kutoka kwa Mungi leo 11.52 kuhusu Hali ya Nassari

Anaendelea vizuri.................... mleta mada kaongeza chumvi nyingi.
 
Imefahamika hali ya Nassari si nzuri kunauwezekano akaenda KCMC. tafadhali kama kunamtu anaweza kutujuza zaidi kuhusu hili.

Kuna mtu jana hapa JF. walipoleta taarifa ya kuumizwa vibaya bila hata kufikiri kwa kina akasema nassari amezidi umama huenda kakwaruzwa tu kidogo analalamika! Anyway tunamuombea apone haraka!
 
Imefahamika hali ya Nassari si nzuri kunauwezekano akaenda KCMC. tafadhali kama kunamtu anaweza kutujuza zaidi kuhusu hili.

Tumetoka kumuona muda si mrefu na kwa maelezo ya daktari anayemtibu katika hopitali ya Selin hana hata mchubuko wala jeraha licha ya kuwa yeye anasema anaumia sana
 
Kuna mtu jana hapa JF. walipoleta taarifa ya kuumizwa vibaya bila hata kufikiri kwa kina akasema nassari amezidi umama huenda kakwaruzwa tu kidogo analalamika! Anyway tunamuombea apone haraka!

Yeyote anayetumia neno 'umama' akilinganisha na udhaifu anatafuta laana au ameshalaaniwa bila kujijua. Hivi anajua ujasiri wa mama!?
Kitu cha kwanza (kati ya vingine vingi) ni kukuweka tumboni mwake kwa miezi 9.
Haya ni maneno tunayookota mitaani na kuyatumia bila kujua madhara yake halafu mambo yasipoenda sawa mtu anadai amerogwa!
Hata kama huna dini, utashi wako utakusaidia kulielewa hili, vinginevyo una kichaa kilichojificha.
 
Jamani dogo, kumbe kaumia sana eeh!
Pole yake na ninamuombea Kwa Mungu amponye haraka
 
Hapo bado kuna watu watakuja na kejeli zao. CCM inabidi wajue tuwa utu una dhamani kuliko pesa

chezea kichapo cha masai weye!!!alienda kichwakichwa eh,,lakini nasikia aliwaletea wale wazee zarahu na kejeli flani ivi ikabidi wamtie displine kidogo ila nna imani atajirekebisha.
 
Tumetoka kumuona muda si mrefu na kwa maelezo ya daktari anayemtibu katika hopitali ya Selin hana hata mchubuko wala jeraha licha ya kuwa yeye anasema anaumia sana
Acha ujinga na ondoa uchafu wako hapa.
Hospitali ya Selin ndio ipi?
Wewe umuone mgonjwa hospitalini halafu usije kusema ulichokiona ila uje kusema ulichoambiwa na Daktari, unawezekana kweli?

Toka lini Daktari akasema siri za ugonjwa wa mtu kwa mtu yoyote?

Nani alikwambia mgonjwa aliyeumia sana ni yule tu alichubuka au kupata majeraha mwilini? Do you know visceral injury, Intracerebral Haemorrhage, Psychological trauma, Post traumatic Syndrome, Closed Skull Fracture, Joint dislocation, Bone dislocation, Sprain, Intracranial Haemorrhage, Brain Concusion, Brain Contusion etc.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom