Ringo Edmund
JF-Expert Member
- May 10, 2010
- 4,879
- 1,125
Akiongea ktk kampeni za udiwani kata ya Kaloleni aliwaambia wananchi kuwa CCM ni ukoo wa panya kila anayeingia ndani kwako ni mwizi.
Akiongea ktk kampeni za udiwani kata ya kaloleni aliwaambia wananchi kuwa ccm ni ukoo wa panya kila anayeingia ndani kwako ni mwizi.
Akiongea ktk kampeni za udiwani kata ya kaloleni aliwaambia wananchi kuwa ccm ni ukoo wa panya kila anayeingia ndani kwako ni mwizi.
Kweli Mkuu
Kimandolu...Gumegume jizi pale A & K...jazia na roho mbaya....
Ererai........Msaliti anayependa fedha chafu..akiona fedha anapagawa
Kaloleni......Mirungi ruksaa (harufu ya wizi)
Themi.......kuuza kiwanja upate fedha za kugombea udiwani......
TAFAKARI.....
niendelee kufunguka?