Nassari aweka hadharani kimemo cha siri alichoandikiwa na Mwigulu Bungeni

ukwelinauwazi

Member
Nov 24, 2014
71
91
Hiki hapa ni Kimemo kilichotoka kwa Mwigulu kwenda kwa Mbunge wa Arumeru wakati wa sakata la Escrow.
attachment.php
 

Attachments

  • IMG-20141129-WA0017.jpg
    IMG-20141129-WA0017.jpg
    69.5 KB · Views: 47,490
Kwanini ameweka hadharani,kwani kila kitu lazima awake hadharani kwa sababu kimetoka kwa mpinzani?
Sijamuelewa kabisa km ni yeye kafanya hivyo ni utoto na hatoaminika pumbavu
 
Upuuzi tu. Nilikuwa simkubali Mwigulu, lakini kwa sasa anafanya watanzania watakacho. Sasa Nassari kama kweli alipewa memo hiyo, kuna umuhimu wowote wa kuitoa public. Labda awe mjinga tu.
 
Kuna mtu anajua mwandiko wa Mwigulu , hicho kimemo Nassari kakiweka wapi tunaomba link tukajionee wenyewe. na kama ni kweli basi hakupaswa kufanya hii makitu ni utoto
 
Hatutaki kuchukua kodi kwenye pesa haramu kama mnamuunga mkono Mwigulu kwanini Bunge limeazimia kuitanga bank

zilizojihusisha na mimala ya escrow kama watakatishaji wa fedha huko ni kuamisha na kuliua hili zali kwamba tatizo ni

kodi tu haijakatwa bali mengineyo yote yaliyotokea ni sawa na ni halali. Pathetic
 
Nassari si kitu huyu, alibahatika tu na kubebwa na US name. Vinginevyo ni ndina fulani hajui degree of privacy kila kitu JF mwisho atatangaza nguo zake za ndani. Nassar kama Mick Jackson vile
 
Nassari si kitu huyu, alibahatika tu na kubebwa na US name. Vinginevyo ni ndina fulani hajui degree of privacy kila kitu JF mwisho atatangaza nguo zake za ndani. Nassar kama Mick Jackson vile
----- wewe.... Hujui hata siri mana yake nn
 
Siyo lazima awe Nassari aliyeweka lakini pia Mwigulu mbona kama alikuwa anamwamrisha? Acha aiweke tuone, kwani Mwigulu alishindwa kuwatumia TRA kubaini mlipa kodi na alipe hiyo kodi hadi waanze kumuuliza Nassari?
 
Bora ameweka tumejua Mwigulu amezaliwa upya! Anastahili uwaziri wa fedha
 
Back
Top Bottom