Nassari asusia kikao cha baraza la madiwani kupinga ugawaji wa viwanja

Hana lolote huyu mbwiga kuna sehemu alikuwa anawahi sasa ndio imebadilisha nini? CDM bhana uwezo wa kujenga hoja ni hafifu kwa viongozi wake.
 
kwa vyovyote vile angekuwemo kwenye kikao hicho angekuwa mmojawapo katika maamuzi hayo kwa hiyo alichofanya ni sahihi
 
dogo anakurupuka tu hataki kushauriwa hajui soko la real estate linasemaje hapo arumeru na hataki kujuzwa,yeye ka mbunge hawezi jua kila kitu ndo mana kuna wataalamu na specialization, land value arusha na meru kwa ujumla iko juu sana, bei ya soko kwa sasa ni 20,000-25,000Tshs/sq.metre kulingana na factors za location,availability of services, demand and supply of land in the area na factors zingine.kwa kawaida katika kupanga bei za viwanja huwa nguvu ya soko ya demand and supply factors ndo zinatumika katika kudetermine

Usiwe GNU basi, walio detarmine hiyo price ndio hao hao wenye fedha za kuilipia, hivyo suala la market value na kuwaacha wenyeji bila chochote, ndio kama yale yaliotokea Dar es salaam ya wenyeji kuhamia kijichi huku mafisadi wakijichia oysterbay, mbezi, masaki msasani, kamtafute mzaramo humo. Mbunge kwa hapo umeona mbali, unless kama mtawakopesha wenyeji au wawe na appropriate ratio kuwacontain wazawa.
 
kama nilivyosema soko ndo linadetermine price, wataalamu kazi yao ni ku-implement tu, hata katika huo ugawaji wa viwanja the rule ni :first come first served simple as that.hawawezi kuweka price ya let say 5000Tshs/s.q. Metre wakati soko linasema bei ina-range from 20,000-25,000 Tshs/s.q.Metre, its impossible hata kanuni tha land economics hazikubaliani na hilo.Alichotakiwa kufanya yeye kama mwakilishi wa wananchi wa Arumeru, alitakiwa kukaa na madiwani pamoja na wataalamu wa ardhi then wazungumze namna gani mwananchi wa kipato cha chini wa Arumeru anaweza kuwezeshwa kupata access ya viwanja hinyo.kwa mfano kama mradi una viwanja 2000 basi wakubaliane vitengwe say viwanja 500 vya kuuzwa kwa watu wa kipato cha chini, ambapo watafanyiwa savei na utengenezaji wa hati wa pamoja kupunguza gharama.na katika bei hiyo ya viwanja vya watu wa kipato cha chini itabidi yeye kama mwakilishi wa wananchi asaidie kuchangia asilimia flani ya bei(mfuko wa jimbo waweza tumika kufanikisha hili) ili wananchi hao wachangie kiasi kidogo kadiri watakavyokubaliana katika vikao watakavyokaa.kususia kikao ni kuonyesha uwezo mdogo wa kukabiliana na changamoto za kiuongozi kama mbunge.ndo mana nikasema alipaswa kukaa na wataalamu na madiwani wayazungumze haya,kwani ni mabo yanayojadilika na siyo kukimbilia kususa kikao kama mtoto mdogo.

USHAURI WA BURE KWA MHE.NASSARI,

Ulichokifanya ni sahihi kabisa lakini kususa tu aitoshi bali unatakiwa kuchukua hatua ya ziada kwa kuzunguka kata zako na kuitisha mikutano na wananchi na kuwaeleza nini kinachoendelea kuhusu wanachokifanya wawakilishi wao ili kuweka
swala zima kwa wananchi kwa maana wao ndio waajiri wao.
 
Ana sababu za mzingi za kugoma au basi tu kutenkeleza sera za chama chake za kugomea kila kitu?
na hivi kuwepo kwake na kutoa hoja ya kupinga zoezi hilo kusingekuwa na tija yeyote?wakati mwingine angeweza kutoa hoja yenye mashiko hivyo kupata kuungwa mkono hata na waleta hoja!!
 
kama nilivyosema soko ndo linadetermine price, wataalamu kazi yao ni ku-implement tu, hata katika huo ugawaji wa viwanja the rule ni :first come first served simple as that.hawawezi kuweka price ya let say 5000Tshs/s.q. Metre wakati soko linasema bei ina-range from 20,000-25,000 Tshs/s.q.Metre, its impossible hata kanuni tha land economics hazikubaliani na hilo.Alichotakiwa kufanya yeye kama mwakilishi wa wananchi wa Arumeru, alitakiwa kukaa na madiwani pamoja na wataalamu wa ardhi then wazungumze namna gani mwananchi wa kipato cha chini wa Arumeru anaweza kuwezeshwa kupata access ya viwanja hinyo.kwa mfano kama mradi una viwanja 2000 basi wakubaliane vitengwe say viwanja 500 vya kuuzwa kwa watu wa kipato cha chini, ambapo watafanyiwa savei na utengenezaji wa hati wa pamoja kupunguza gharama.na katika bei hiyo ya viwanja vya watu wa kipato cha chini itabidi yeye kama mwakilishi wa wananchi asaidie kuchangia asilimia flani ya bei(mfuko wa jimbo waweza tumika kufanikisha hili) ili wananchi hao wachangie kiasi kidogo kadiri watakavyokubaliana katika vikao watakavyokaa.kususia kikao ni kuonyesha uwezo mdogo wa kukabiliana na changamoto za kiuongozi kama mbunge.ndo mana nikasema alipaswa kukaa na wataalamu na madiwani wayazungumze haya,kwani ni mabo yanayojadilika na siyo kukimbilia kususa kikao kama mtoto mdogo.
siyo kila kitu kinakwenda na nguvu ya soko kwani inategemea mazingira nyuma ya hivyo viwanja kama watu waliamishwa ili viwanja vigawe basi victims ndio inbidi wapewe first priority. nchi hii ufisadi umetawala kila angle kwahiyo hata hiyo bei imepangwa na hao hao mafisadi huku wakijua wananchi wa kawaida hawataweza ku afford. kumbuka walipokuwa wakijigawawia nyumba za serikali vigezo ulivyovisema vilitupwa nje ili kuakikisha mafisadi wanabaki ndani ya nyumba hizo. Nassari anachotakiwa kukifanya ni kurudi kwa wananchi na kuwaeleza wananchi kwenye kata zake zote nini kinachoendelea ndani ya council na kuwaacha wananchi wenyewe waamue kwa maana hao ndio waajiri wao.
 
Ana sababu za mzingi za kugoma au basi tu kutenkeleza sera za chama chake za kugomea kila kitu?

Unakumbuka mwalimu J.K.Nyerere aligomea kuingia mkutano wakupitisha mgombea wa CCM Mpaka Malecela alipotoa jina 1995?Au ubora wamigomo wewe unaupimaje?
 
kama nilivyosema soko ndo linadetermine price, wataalamu kazi yao ni ku-implement tu, hata katika huo ugawaji wa viwanja the rule ni :first come first served simple as that.hawawezi kuweka price ya let say 5000Tshs/s.q. Metre wakati soko linasema bei ina-range from 20,000-25,000 Tshs/s.q.Metre, its impossible hata kanuni tha land economics hazikubaliani na hilo.Alichotakiwa kufanya yeye kama mwakilishi wa wananchi wa Arumeru, alitakiwa kukaa na madiwani pamoja na wataalamu wa ardhi then wazungumze namna gani mwananchi wa kipato cha chini wa Arumeru anaweza kuwezeshwa kupata access ya viwanja hinyo.kwa mfano kama mradi una viwanja 2000 basi wakubaliane vitengwe say viwanja 500 vya kuuzwa kwa watu wa kipato cha chini, ambapo watafanyiwa savei na utengenezaji wa hati wa pamoja kupunguza gharama.na katika bei hiyo ya viwanja vya watu wa kipato cha chini itabidi yeye kama mwakilishi wa wananchi asaidie kuchangia asilimia flani ya bei(mfuko wa jimbo waweza tumika kufanikisha hili) ili wananchi hao wachangie kiasi kidogo kadiri watakavyokubaliana katika vikao watakavyokaa.kususia kikao ni kuonyesha uwezo mdogo wa kukabiliana na changamoto za kiuongozi kama mbunge.ndo mana nikasema alipaswa kukaa na wataalamu na madiwani wayazungumze haya,kwani ni mabo yanayojadilika na siyo kukimbilia kususa kikao kama mtoto mdogo.
siyo kila kitu kinakwenda na nguvu ya soko kwani inategemea mazingira nyuma ya hivyo viwanja kama watu waliamishwa ili viwanja vigawe basi victims ndio inbidi wapewe first priority. nchi hii ufisadi umetawala kila angle kwahiyo hata hiyo bei imepangwa na hao hao mafisadi huku wakijua wananchi wa kawaida hawataweza ku afford. kumbuka walipokuwa wakijigawawia nyumba za serikali vigezo ulivyovisema vilitupwa nje ili kuakikisha mafisadi wanabaki ndani ya nyumba hizo. Nassari anachotakiwa kukifanya ni kurudi kwa wananchi na kuwaeleza wananchi kwenye kata zake zote nini kinachoendelea ndani ya council na kuwaacha wananchi wenyewe waamue kwa maana hao ndio waajiri wao.

Ciello. siyo kila kitu kinakwenda na nguvu ya soko kwani inategemea mazingira nyuma ya hivyo viwanja kama watu waliamishwa ili viwanja vigawe basi victims ndio inbidi wapewe first priority. nchi hii ufisadi umetawala kila angle kwahiyo hata hiyo bei imepangwa na hao hao mafisadi huku wakijua wananchi wa kawaida hawataweza ku afford. kumbuka walipokuwa wakijigawawia nyumba za serikali vigezo ulivyovisema vilitupwa nje ili kuakikisha mafisadi wanabaki ndani ya nyumba hizo. Nassari anachotakiwa kukifanya ni kurudi kwa wananchi na kuwaeleza wananchi kwenye kata zake zote nini kinachoendelea ndani ya council na kuwaacha wananchi wenyewe waamue kwa maana hao ndio waajiri wao.
 
Kwasala la ardhi soko ndo linadetermine price,tena kwenye maeneo ambayo land market imechangamka kama arusha hilo huwezi kuepuka........and as i said earlier hata ikiwekwa bei ya 100Tshs/m.sq una uhakika gani hao wannchi wakipato cha chini ndo watakuwa wanunuzi???? ndo mana nikasema ilikuwa ishu ya kuzungumza tu, ardhi maeneo mengi tz inakodishwa kwa kuangalia soko linasemaje...so katika mradi huo inatakiwa vigawanye viwanja vya kugawia watu wa kipato cha chini na vya kuuzwa kwa bei ya soko ili council iweze kupata mapato......thats the rule jameni

Yote yanayozungumzwa Bungeni na ktk vikao vya kupitisha jambo fulani,ni lazima wahitimishe na upigaji wa kura.Nasari angekaa ndani ya kikao hicho asingeweza kuzuia chochote kile kisipitishwe kwa kura yake moja.Amepinga kwa vitendo juu ya suala hilo,acha kupotosha fikiri zaidi ya hapo.

Nambaya zaidi kura yake wangesema nayo nindio kwamtindo wakuchakachua ili kuaibisha zaidi!
 
Kwasala la ardhi soko ndo linadetermine price,tena kwenye maeneo ambayo land market imechangamka kama arusha hilo huwezi kuepuka........and as i said earlier hata ikiwekwa bei ya 100Tshs/m.sq una uhakika gani hao wannchi wakipato cha chini ndo watakuwa wanunuzi???? ndo mana nikasema ilikuwa ishu ya kuzungumza tu, ardhi maeneo mengi tz inakodishwa kwa kuangalia soko linasemaje...so katika mradi huo inatakiwa vigawanye viwanja vya kugawia watu wa kipato cha chini na vya kuuzwa kwa bei ya soko ili council iweze kupata mapato......thats the rule jameni

unafanya makosa tena free market haitakiwi kuwa kwenye ardhi tu, ilitakiwa iwe hata kwy nyumba za serikali zilizouzwa huwezi ku pick and choose wapi unatumia nguvu ya soko na wapi hutumii nguvu ya soko!!! ok na yote hii inafanyika kumkwepa mtu mdogo kumfaidisha mkubwa come on.
 
Viwanja katika Eneo la Arumeru - Tengeru - amepewa KABALE ESTATE na wanashirikiana na Council kulangua wananchi.

Wizi mtupu

hata Arumeru magharibi kule Burka - Wizi mtupu - wanakwiba kwiba tu

Arusha mjini kwa meya wa kichina - hakuna kitu - wizi mtupu

Mh. Nasari Komaa nae arifuuuu
 
ndugu zangu suala la ardhi si vile wengi mnavyolifikiria. sheria zinasema mtu apewe ardhi ili aweze kuiendeleza na bei za ardhi husika zinategemea na soko la wakati huo na si matakwa ya kisiasa. nendeni mkanunue plot pale Karatu mtaniambia, kwa ufupi Arusha nzima ardhi yake imepanda sana bei. tena Arumeru ndiyo itakuwa balaa

nimemsikiliza sana Halima Mdee akiongelea ardhi kwa wanyonge na pia huyu Nassari. Suala hapa si unyonge, Dunia imebadilika sana. Ardhi lazima iendelezwe (izallishe) siyo mtu apewe bure aiangalie. Hii ni logic tu si suala la kulaumu sijui CCM mara JK, watanzania tujifunze kwamba ardhi ni mali na inapaswa iendelezwe na watu wenye uwezo siyo watu waiangalie tu kwa sababu ni wanyonge, basi wapewe bure - ili iwe nini?
 
dogo anakurupuka tu hataki kushauriwa hajui soko la real estate linasemaje hapo arumeru na hataki kujuzwa,yeye ka mbunge hawezi jua kila kitu ndo mana kuna wataalamu na specialization, land value arusha na meru kwa ujumla iko juu sana, bei ya soko kwa sasa ni 20,000-25,000Tshs/sq.metre kulingana na factors za location,availability of services, demand and supply of land in the area na factors zingine.kwa kawaida katika kupanga bei za viwanja huwa nguvu ya soko ya demand and supply factors ndo zinatumika katika kudetermine price..........

hizi ndio porojo mnazotuletea!hivi viwanja anauziwa nani?wananchi wa meru ambao wengi ni wakulima hawana ardhi hivyo nilitegemea waangaliwe hao kwanza.kwa bei hii viwanja vyote vitachukuliwa na mafisadi.au labda unaimbie kuna mechanism ya kuwawezesha watu wa kipato cha chini kumiliki ardhi.otherwise ni ufisadi juu ya ufisadi.na kwa taarifa yako viwanja vingine havijauzika kwa kuwa bei ni juu.
 
Back
Top Bottom