Medical Dictionary
JF-Expert Member
- Mar 12, 2012
- 1,060
- 309
chakufanya sasa hapo nassari asiishie tu kususuia vikao bali afanye mikutano kuwaeleza wananchi ufisadi huo unaofanywa na hao madiwan wa magamba..then nguvu ya umma itumike
Baada ya kamati ya uchumi ya baraza la madiwani Arumeru kudhamiria kuingia na hoja ya kuuza viwanja(square meter kwa Tsh 22'000). Mheshimiwa mbunge machachari amesusia kikao cha madiwani (full council) ili asiwe historia ya kuhalalisha ufisadi wa viwanja huko Meru.
Mhh meru mmezidi nakumbuka vya duluti eti mlikua mnauza sq meter sh 24000,kuna mmeru mwenye uwezo wa kununua?
Ungetwambia anapinga uuzwaji wa viwanja au bei square meter 22000.? Aua wanauza sehemu isiyohalali.?Baada ya kamati ya uchumi ya baraza la madiwani Arumeru kudhamiria kuingia na
hoja ya kuuza viwanja(square meter kwa Tsh 22'000). Mheshimiwa mbunge machachari amesusia kikao cha madiwani (full council) ili asiwe historia ya kuhalalisha ufisadi wa viwanja huko Meru.
Safi sana .................. komaa kamanda ili kuonyesha kieleweke
Ana haki ya kugoma maana ndio sera ya chama chake,kila anayegoma anaonekana ndiye kamanda wa ukweli ndani ya chadema.
Akomae kivipi sasa mkuu, ili hali ametoka na maamuzi yanapitishwa, kipi ni bora kutoka kwako na maamuzi yakapitoshwa au kutotoka mkapambana ndani ya vikao ? kwa uwamuzi wake naona amekurupuka zaidi
Unakimbia mstari wa mbele wa mapambano Vita mkishinda (NILIKUWEPO) Vita mkishindwa (aka SIKUWEPO) niliwaambia wasigawe viwanja hawakunisikia sasa angalieni wapiga kura wangu wote hamkuweza kuvinunua.huu ndio ufisadi anaojaribu kupambana nao dogo janja!
Yote yanayozungumzwa Bungeni na ktk vikao vya kupitisha jambo fulani,ni lazima wahitimishe na upigaji wa kura.Nasari angekaa ndani ya kikao hicho asingeweza kuzuia chochote kile kisipitishwe kwa kura yake moja.Amepinga kwa vitendo juu ya suala hilo,acha kupotosha fikiri zaidi ya hapo.
Hawa ni kawaida yao kususia kila kitu. Tumeshawazoea.
Yote yanayozungumzwa Bungeni na ktk vikao vya kupitisha jambo fulani,ni lazima wahitimishe na upigaji wa kura.Nasari angekaa ndani ya kikao hicho asingeweza kuzuia chochote kile kisipitishwe kwa kura yake moja.Amepinga kwa vitendo juu ya suala hilo,acha kupotosha fikiri zaidi ya hapo.
Wenzio maji wanakunywa na kuoga karibu na wewe uje kunywa maji yalioletwa na mbunge