Maandishi yako haya yanasadifu uwezo wa akili yako!Ha ha haaa....msigwa ana hali ngumu sana kule iringa na ana haha mkate usimponyoke...Nasari nae duh..ila bora yeye..Lema anajaribu kufight kumuokoa..Mbowe yupo busy na wema...Lowasa yupo Dubai anakula upepo mwanana...wakati Mnyika anagonga cheers maeneo ya kawe pamoja na mdee....blaya alishabinywa akamute...Sugu yeye anawaza fiesta huku prof jay akikomaa na sakata la kubomolewa nyumba yake...Lissu anapambana na hali yake pale nairobi...kazi ipo
Mbona Magufuli na Janet pia wako Busy Ikulu kwakutumia kodi yangu mimi na wewe Baada ya kufanyishwa kazi nzito kabisa wao wana tumbua bila huruma?Ha ha haaa....msigwa ana hali ngumu sana kule iringa na ana haha mkate usimponyoke...Nasari nae duh..ila bora yeye..Lema anajaribu kufight kumuokoa..Mbowe yupo busy na wema...Lowasa yupo Dubai anakula upepo mwanana...wakati Mnyika anagonga cheers maeneo ya kawe pamoja na mdee....blaya alishabinywa akamute...Sugu yeye anawaza fiesta huku prof jay akikomaa na sakata la kubomolewa nyumba yake...Lissu anapambana na hali yake pale nairobi...kazi ipo
Ile kampeni aliyozunguka nchi nzima kwa gari, ulifikiri angekaa ikulu bila kutumia kodi yako, mwache apumzike.Mbona Magufuli na Janet pia wako Busy Ikulu kwakutumia kodi yangu mimi na wewe Baada ya kufanyishwa kazi nzito kabisa wao wana tumbua bila huruma?
Mbowe na Wema sepetu au sio????...usisahau kuwarekodi uturushie basiHa ha haaa....msigwa ana hali ngumu sana kule iringa na ana haha mkate usimponyoke...Nasari nae duh..ila bora yeye..Lema anajaribu kufight kumuokoa..Mbowe yupo busy na wema...Lowasa yupo Dubai anakula upepo mwanana...wakati Mnyika anagonga cheers maeneo ya kawe pamoja na mdee....blaya alishabinywa akamute...Sugu yeye anawaza fiesta huku prof jay akikomaa na sakata la kubomolewa nyumba yake...Lissu anapambana na hali yake pale nairobi...kazi ipo
Achana na Lissu, Mungu amsaidie hawa wanaiga tu, huu ungekuwa ushahidi wa Lissu lazima tu recording ingekuwa ya 2017, sasa huu ushahidi hakuna hakimu anayeweza kukufunga ukisema umepikwa kulingana na tarehe ni kweli utakuwa na point, lkn kwa wananchi kma sisi uko sawa ila ukienda kiutalaamu hakuna kesi hpo hlf utasemaje wamehongwa wakati hakuna sehemu wanapewa hela? Eti kosa la kuwarubuni, mmmmhhh...tusubiri hii ngoma itaishaji, siwatetei hao madiwani ila kwa ushahidi huu kumtia mtu hatiani kazi bado ipo.Mziki wa Ngosha ni amsha sana...yaani hawa akna nassari hawachomoki...wamejileta wenyewe kwenye mdomo wa mamba kiulaiiiiini...recording ya 2008 ndo inatumika leo? Ha ha ha...kumbe Lissu ni pengo kubwa sana..
Kwahiyo tumempeleka ikulu akapumzike mkuuIle kampeni aliyozunguka nchi nzima kwa gari, ulifikiri angekaa ikulu bila kutumia kodi yako, mwache apumzike.
Ha ha haaa....msigwa ana hali ngumu sana kule iringa na ana haha mkate usimponyoke...Nasari nae duh..ila bora yeye..Lema anajaribu kufight kumuokoa..Mbowe yupo busy na wema...Lowasa yupo Dubai anakula upepo mwanana...wakati Mnyika anagonga cheers maeneo ya kawe pamoja na mdee....blaya alishabinywa akamute...Sugu yeye anawaza fiesta huku prof jay akikomaa na sakata la kubomolewa nyumba yake...Lissu anapambana na hali yake pale nairobi...kazi ipo
Mmmhhh....unanidanganya nikubali lkn mi chichemi kitu, naogopa wasiojulikana mkuu...Kwahiyo tumempeleka ikulu akapumzike mkuu
Taarifa ya habari azam wamesema hiyo ni taarifa kwa pccb, sasa sijui kama wana ushahidi!Achana na Lissu, Mungu amsaidie hawa wanaiga tu, huu ungekuwa ushahidi wa Lissu lazima tu recording ingekuwa ya 2017, sasa huu ushahidi hakuna hakimu anayeweza kukufunga ukisema umepikwa kulingana na tarehe ni kweli utakuwa na point, lkn kwa wananchi kma sisi uko sawa ila ukienda kiutalaamu hakuna kesi hpo hlf utasemaje wamehongwa wakati hakuna sehemu wanapewa hela? Eti kosa la kuwarubuni, mmmmhhh...tusubiri hii ngoma itaishaji, siwatetei hao madiwani ila kwa ushahidi huu kumtia mtu hatiani kazi bado ipo.
Basi hii ni taarifa sbu ndani yake hakuna anayepokea wala kutoa rushwa, ni taarifa ya kurubuni.Taarifa ya habari azam wamesema hiyo ni taarifa kwa pccb, sasa sijui kama wana ushahidi!
Chadema hawajui tofauti ya taarifa na ushahidi!
lema vifaa vyake vinatoka marekani?Wakuu.
Kumekucha na makucha yake Msigwa yeye vifaa vyake ni kutoka nchini Australia huku Nassari yeye ni vifaa kutoka Uingereza ni hatari sana.
umemaliza wote?Ha ha haaa....msigwa ana hali ngumu sana kule iringa na ana haha mkate usimponyoke...Nasari nae duh..ila bora yeye..Lema anajaribu kufight kumuokoa..Mbowe yupo busy na wema...Lowasa yupo Dubai anakula upepo mwanana...wakati Mnyika anagonga cheers maeneo ya kawe pamoja na mdee....blaya alishabinywa akamute...Sugu yeye anawaza fiesta huku prof jay akikomaa na sakata la kubomolewa nyumba yake...Lissu anapambana na hali yake pale nairobi...kazi ipo
Wengine ni underdog sana..ngosha akikinukisha kdogo tu tunatafutana nao uvunguniumemaliza wote?
Hali ngumu kwa akili zenu za elimu ya kozi.Iringa ni mojawapo ya mikoa Vibrant sana km sio inaongoza kwa CDM km hamjui.Ha ha haaa....msigwa ana hali ngumu sana kule iringa na ana haha mkate usimponyoke...Nasari nae duh..ila bora yeye..Lema anajaribu kufight kumuokoa..Mbowe yupo busy na wema...Lowasa yupo Dubai anakula upepo mwanana...wakati Mnyika anagonga cheers maeneo ya kawe pamoja na mdee....blaya alishabinywa akamute...Sugu yeye anawaza fiesta huku prof jay akikomaa na sakata la kubomolewa nyumba yake...Lissu anapambana na hali yake pale nairobi...kazi ipo
Mkuu acha kuwa zoba,shule huwa mnasomea ujinga? Wewe umeona muda tu ndiyo kitu cha kukosoa. Ni edit muda na kuweka mwaka 1970 lakini nakurekodi leo na mandevu yako utasema sio wewe maana hiyo ni mwaka 1970?Mziki wa Ngosha ni amsha sana...yaani hawa akna nassari hawachomoki...wamejileta wenyewe kwenye mdomo wa mamba kiulaiiiiini...recording ya 2008 ndo inatumika leo? Ha ha ha...kumbe Lissu ni pengo kubwa sana..
Tatizo una hasira sana...punguza temper kwanza ndo twende sawa...tukienda hv hv utaishia kunitukana tuMkuu acha kuwa zoba,shule huwa mnasomea ujinga? Wewe umeona muda tu ndiyo kitu cha kukosoa. Ni edit muda na kuweka mwaka 1970 lakini nakurekodi leo na mandevu yako utasema sio wewe maana hiyo ni mwaka 1970?
Mkuu kwanza habari za Geita , baada ya salamu naomba nikukumbushe kwamba kabla ya uchaguzi mkuu wa 2015 , chadema iringa mjini ilikuwa na diwani mmoja tu , lakini hivi sasa inaongoza halmashauri .Ha ha haaa....msigwa ana hali ngumu sana kule iringa na ana haha mkate usimponyoke...Nasari nae duh..ila bora yeye..Lema anajaribu kufight kumuokoa..Mbowe yupo busy na wema...Lowasa yupo Dubai anakula upepo mwanana...wakati Mnyika anagonga cheers maeneo ya kawe pamoja na mdee....blaya alishabinywa akamute...Sugu yeye anawaza fiesta huku prof jay akikomaa na sakata la kubomolewa nyumba yake...Lissu anapambana na hali yake pale nairobi...kazi ipo