Nassari alitumia vifaa vya uingereza na Msigwa yeye alitumia vifaa vya Australia kumekucha.

Arovera

JF-Expert Member
Nov 19, 2013
10,885
28,246
Wakuu.

Kumekucha na makucha yake Msigwa yeye vifaa vyake ni kutoka nchini Australia huku Nassari yeye ni vifaa kutoka Uingereza ni hatari sana.
 
Ha ha haaa....msigwa ana hali ngumu sana kule iringa na ana haha mkate usimponyoke...Nasari nae duh..ila bora yeye..Lema anajaribu kufight kumuokoa..Mbowe yupo busy na wema...Lowasa yupo Dubai anakula upepo mwanana...wakati Mnyika anagonga cheers maeneo ya kawe pamoja na mdee....blaya alishabinywa akamute...Sugu yeye anawaza fiesta huku prof jay akikomaa na sakata la kubomolewa nyumba yake...Lissu anapambana na hali yake pale nairobi...kazi ipo
 
Maandishi yako haya yanasadifu uwezo wa akili yako!
 
Ha ha haaa....msigwa ana hali ngumu sana kule iringa na ana haha mkate usimponyoke...Nasari nae duh..ila bora yeye..Lema anajaribu kufight kumuokoa..Mbowe yupo busy na wema...Lowasa yupo Dubai anakula upepo mwanana...wakati Mnyika anagonga cheers maeneo ya kawe pamoja na mdee....blaya alishabinywa akamute...Sugu yeye anawaza fiesta huku prof jay akikomaa na sakata la kubomolewa nyumba yake...Lissu anapambana na hali yake pale nairobi...kazi ipo
Mbona Magufuli na Janet pia wako Busy Ikulu kwakutumia kodi yangu mimi na wewe Baada ya kufanyishwa kazi nzito kabisa wao wana tumbua bila huruma?
 
Mziki wa Ngosha ni amsha sana...yaani hawa akna nassari hawachomoki...wamejileta wenyewe kwenye mdomo wa mamba kiulaiiiiini...recording ya 2008 ndo inatumika leo? Ha ha ha...kumbe Lissu ni pengo kubwa sana..
 
Ile kampeni aliyozunguka nchi nzima kwa gari, ulifikiri angekaa ikulu bila kutumia kodi yako, mwache apumzike.
 
Ha ha haaa....msigwa ana hali ngumu sana kule iringa na ana haha mkate usimponyoke...Nasari nae duh..ila bora yeye..Lema anajaribu kufight kumuokoa..Mbowe yupo busy na wema...Lowasa yupo Dubai anakula upepo mwanana...wakati Mnyika anagonga cheers maeneo ya kawe pamoja na mdee....blaya alishabinywa akamute...Sugu yeye anawaza fiesta huku prof jay akikomaa na sakata la kubomolewa nyumba yake...Lissu anapambana na hali yake pale nairobi...kazi ipo
Mbowe na Wema sepetu au sio????...usisahau kuwarekodi uturushie basi
 
Mziki wa Ngosha ni amsha sana...yaani hawa akna nassari hawachomoki...wamejileta wenyewe kwenye mdomo wa mamba kiulaiiiiini...recording ya 2008 ndo inatumika leo? Ha ha ha...kumbe Lissu ni pengo kubwa sana..
Achana na Lissu, Mungu amsaidie hawa wanaiga tu, huu ungekuwa ushahidi wa Lissu lazima tu recording ingekuwa ya 2017, sasa huu ushahidi hakuna hakimu anayeweza kukufunga ukisema umepikwa kulingana na tarehe ni kweli utakuwa na point, lkn kwa wananchi kma sisi uko sawa ila ukienda kiutalaamu hakuna kesi hpo hlf utasemaje wamehongwa wakati hakuna sehemu wanapewa hela? Eti kosa la kuwarubuni, mmmmhhh...tusubiri hii ngoma itaishaji, siwatetei hao madiwani ila kwa ushahidi huu kumtia mtu hatiani kazi bado ipo.
 
Madhara ya ukeketaji haya. God forgive.
Ha ha haaa....msigwa ana hali ngumu sana kule iringa na ana haha mkate usimponyoke...Nasari nae duh..ila bora yeye..Lema anajaribu kufight kumuokoa..Mbowe yupo busy na wema...Lowasa yupo Dubai anakula upepo mwanana...wakati Mnyika anagonga cheers maeneo ya kawe pamoja na mdee....blaya alishabinywa akamute...Sugu yeye anawaza fiesta huku prof jay akikomaa na sakata la kubomolewa nyumba yake...Lissu anapambana na hali yake pale nairobi...kazi ipo
 
Achana na Lissu, Mungu amsaidie hawa wanaiga tu, huu ungekuwa ushahidi wa Lissu lazima tu recording ingekuwa ya 2017, sasa huu ushahidi hakuna hakimu anayeweza kukufunga ukisema umepikwa kulingana na tarehe ni kweli utakuwa na point, lkn kwa wananchi kma sisi uko sawa ila ukienda kiutalaamu hakuna kesi hpo hlf utasemaje wamehongwa wakati hakuna sehemu wanapewa hela? Eti kosa la kuwarubuni, mmmmhhh...tusubiri hii ngoma itaishaji, siwatetei hao madiwani ila kwa ushahidi huu kumtia mtu hatiani kazi bado ipo.
Taarifa ya habari azam wamesema hiyo ni taarifa kwa pccb, sasa sijui kama wana ushahidi!
Chadema hawajui tofauti ya taarifa na ushahidi!
 
Basi hii ni taarifa sbu ndani yake hakuna anayepokea wala kutoa rushwa, ni taarifa ya kurubuni.
 
Ha ha haaa....msigwa ana hali ngumu sana kule iringa na ana haha mkate usimponyoke...Nasari nae duh..ila bora yeye..Lema anajaribu kufight kumuokoa..Mbowe yupo busy na wema...Lowasa yupo Dubai anakula upepo mwanana...wakati Mnyika anagonga cheers maeneo ya kawe pamoja na mdee....blaya alishabinywa akamute...Sugu yeye anawaza fiesta huku prof jay akikomaa na sakata la kubomolewa nyumba yake...Lissu anapambana na hali yake pale nairobi...kazi ipo
umemaliza wote?
 
Hali ngumu kwa akili zenu za elimu ya kozi.Iringa ni mojawapo ya mikoa Vibrant sana km sio inaongoza kwa CDM km hamjui.
 
Mziki wa Ngosha ni amsha sana...yaani hawa akna nassari hawachomoki...wamejileta wenyewe kwenye mdomo wa mamba kiulaiiiiini...recording ya 2008 ndo inatumika leo? Ha ha ha...kumbe Lissu ni pengo kubwa sana..
Mkuu acha kuwa zoba,shule huwa mnasomea ujinga? Wewe umeona muda tu ndiyo kitu cha kukosoa. Ni edit muda na kuweka mwaka 1970 lakini nakurekodi leo na mandevu yako utasema sio wewe maana hiyo ni mwaka 1970?
 
Tatizo una hasira sana...punguza temper kwanza ndo twende sawa...tukienda hv hv utaishia kunitukana tu
 
Ha ha haaa....msigwa ana hali ngumu sana kule iringa na ana haha mkate usimponyoke...Nasari nae duh..ila bora yeye..Lema anajaribu kufight kumuokoa..Mbowe yupo busy na wema...Lowasa yupo Dubai anakula upepo mwanana...wakati Mnyika anagonga cheers maeneo ya kawe pamoja na mdee....blaya alishabinywa akamute...Sugu yeye anawaza fiesta huku prof jay akikomaa na sakata la kubomolewa nyumba yake...Lissu anapambana na hali yake pale nairobi...kazi ipo
Mkuu kwanza habari za Geita , baada ya salamu naomba nikukumbushe kwamba kabla ya uchaguzi mkuu wa 2015 , chadema iringa mjini ilikuwa na diwani mmoja tu , lakini hivi sasa inaongoza halmashauri .

Sasa hizo porojo zako za kishamba kwamba Msigwa ana hali mbaya kawadanganye washamba wenzio huko kwenu chato , humu humdanganyi yeyote yule .
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom