Nassari alikana Mwananchi kuhusu Zitto na Urais

Mbona Halima Mdee ajasema kitu, huyu Dogo Nassari ndio zake kukataa maneno yake leo hii ukamwambia vipi taifa la Kaskazini limeishia wapi atakuambia hajawahi kusema.
 
Habari kutoka vyanzo vya kuaminika ni kuwa:

Timu hii ya Zitto inaongozwa na Jakaya Kikwete,ikimjumuisha Januari Makama nk, na mfadhiri mkuu wa mradi huu mzima wenye thamani ya Bilioni Moja ni Yufu Manji!

Mkuu JF sio sehemu ya porojo mungu katupa vichwa kwa ajili ya kufikiri sio kufugia nywele.
 
Zitto aungane na ccm wapumbav hko ndo watamruhusu!Kubwa2ka kwake na kuhaha kwake, kutokukalsha ****** yke chini ndo KUNAMPONZA, uraisi c ubwa2kaji ovyo ni UTASHI, BUSARA, UWEZO, NGUVU, NIA, U-SMART n.k ndo vnavohtajka!AKUEKUE may b 2020's au 30's akiona
 
We ulitaka Nasari akubali tu kila linalozushwa kuhusu yeye!!...na ukaonge na utoto ..eti kalazimishwa kukanusha!! kwa

ujinga wenu huu hamtafanikiwa!

2.....Ndugu yangu kwa umri wako huu na elimu yako hii ya kuja kusoma na kuandika....

Unakosea sana kusema maneno kama hayo ya kuwa wewe ni mshabiki mpenzi wa Zitto!!

Kwenye siasa hamana kitu kama hicho!! Nyie ndio mlikuwa mashabiki wa JK sasa hivi mnalia/tunali!!

Uraisi hatubahatishi....hata kama mtu anapenda sana kuwa raisi na wewe unamshabikia kama mpenzi wako...lakini lazima

tujiulize mara mbilimbili anaweza????

kwa hio wanaoweza urais ni kutoka kaskazini peke yake?zitto ana haki ya kugombea kama ambavyo mimi nina haki hio.MBONA HAKUNA TATIZO KAMA HAFAI AU ANAFAA NI SUALA LA WATANZANIA KUAMUA.
 
Nikiwa kama mwandishi wa habari, nimewahi kuandika humu ndani tabia chafu za mbunge Zitto Kabwe. Zitto anajiandikia habari, analazimisha ichapishwe bila kufanyiwa uhariri.

Katika watu watakaoliingiza hili taifa katika hatari, ZITTO ni mmoja wao. Anafika kuwahonga waandishi ili waandike habari zake na ziwekwe ukurasa wa mbele. Uongozi haulazimishwi, uongozi ni kazo watu wanapewa na wapiga kura. Jipangeni kuhusu Zitto. Kazi nzuri Nassari, CMM- Inamsadia zitto kwenye hizi propaganda za kuvuruga CHADEMA

Hizi taarifa niliwahi kuzisikia kuhusu Zitto kuwa anajiandikia taarifa mwenyewe na kuzipeleka kwenye magazeti ambayo ana watu wake. Hili kama ni kweli basi Zitto hastahili kupata uongozi wowote maana hiyo ni tabia chafu ya watu wanaoutafuta ukuu kwa hali yeyote ile. Niliwahi kusema awali kuwa Tabia ya Zitto kupenda kupata kila nafasi kubwa katika Taifa na chama ni dalili ya mtu hatari.

Tuombe sana isije ikatokea watu wakashindwa kuona dalili zinazomwashiria mtu kuwa asiyefaa kuongoza, kisha wakampa uongozi. OGOPA SANA MTU ANAYEONEKANA KUPENDA SANA MADARAKA. MTU WA NAMNA HIYO, AKIYAPATA MADARAKA HATAPENDA KUTOKA NA WALA HATAWEZA KUFANYA LOLOTE LA KUWASAIDIA WANANCHI ZAIDI YA KUJENGA MFUMO WA KUMKALISHA MADARAKANI KWA GHARAMA YEYOTE ILE.
 
Mkuu JF sio sehemu ya porojo mungu katupa vichwa kwa ajili ya kufikiri sio kufugia nywele.

Hehee ndugu asante sana, hebu soma yote niuliyoandika pale utagundua nimeandika kama mawazo huru, naamini upo kazini na kazi yako ndio unatimiza!
 
Mbona Halima Mdee ajasema kitu, huyu Dogo Nassari ndio zake kukataa maneno yake leo hii ukamwambia vipi taifa la Kaskazini limeishia wapi atakuambia hajawahi kusema.

Sitashangaa kusikia wote wakikana, hapo ndiyo tutakapojiuliza huyo mwandishi alipata wapi hiyo habari, na pia itakuwa ni uthibitisho wa taarifa kutoka kwa baadhi ya waandishi kuwa Zitto huwa anajiandalia habari zinazomhusu.
 
OGOPA SANA MTU ANAYEONEKANA KUPENDA SANA MADARAKA. MTU WA NAMNA HIYO, AKIYAPATA MADARAKA HATAPENDA KUTOKA NA WALA HATAWEZA KUFANYA LOLOTE LA KUWASAIDIA WANANCHI ZAIDI YA KUJENGA MFUMO WA KUMKALISHA MADARAKANI KWA GHARAMA YEYOTE ILE.

Nimeyakubali mawazo yako hasa kwenye hitimisho!
 
Habari kutoka vyanzo vya kuaminika ni kuwa:

Timu hii ya Zitto inaongozwa na Jakaya Kikwete,ikimjumuisha Januari Makama nk, na mfadhiri mkuu wa mradi huu mzima wenye thamani ya Bilioni Moja ni Yusufu Manji!

Lengo ni kuibomoa Chadema na kuwazuia Lowasa, Sita na Membe wasigombee kupitia ccm badala yake Januari aje kuwa ndie mgombe halisi wa ccm!

Inaelezwa kuwa mwenyeti wa ccm yupo tayari kuona ccm inakufa lakini si kuona Lowasa anagombe au mwingine zaidi ya huyo J.Makamba, japo kwa sasa amewaweka kwenye orodha vijana watatu na mama wa UN (1) Januari (2) Emanuel Nchimbi (3) Hussein Mwinyi na Migiro

Sasa tusubiri tuone, lakini inaelezwa kuwa ktk mpango huu Zitto atafanya kila vurugu ndani ya chadema ilimradi tu afukuzwe na kwakuanza tu amesha jitangaza kuwa anajitoa kugombe uongozi wa ngazi yoyote ndani ya chadema, hii ni tiketi nzuri kuelekea mafanikio ya mpango huo!

Wadadisi hawa wanazidi kujuza kuwa kwa sasa Zito ndie mwanasiasa Tajiri zaidi akiwa na uwezo wa kufanya chocho na mahali popote ikiwemo kuwa nunua wanahabari na vyombo vyao.

Wajasusi wa ndani ya ccm wenye nia njema na taifa hili wanazidi kujuza kuwa mwaka 2013 ndio utakuwa na mtikisiko zaidi wa kisiasa hasa ikiwa chadema hawatajiandaa kwa yajayo juu ya mwanachama wao ndugu Zitto!

Lakini hayo ndio ya siasa za Tz ngoja tusubiri tuone mapicha ya ukweli toka studio za Tz!
Zitto ni mwiba sana,kumtimua inahitaji timing na mkimwacha pia inahitaji timing kufanya naye kazi
 
Hakika kama wewe ni mwandishi wa habari basi una matatizo hasa namna unavyoonesha upendeleo,pia unavyosema Zitto anajiandikia mwenyewe habari bila shaka ndiyo unaonesha udhaifu wako huenda kuna siku ulilazimishwa kuandika habari yake na kama ulikubali basi huitumii vizuri taaluma yako.Katika hoja hii umewadharaulisha waandishi wenzako huenda kwa makusudi au kutojua nini unachosema

Mkuu, wewe ni M-TZ au ni mtu wa taifa gani hata usijue kwamba kuhongwa ili kuandika habari kwa maslahi ya mhusika fulani ni kitu cha kawaida TZ?

Uanapochangia hoja uwe mkweli, usiwe mnafiki,
Mkuu Wakurogwa, let me be frank, acha kabisa unafiki.
 
Wewe ulikuwepo Kigoma? ... Unajua aliyoyasema Nasari? Mbona hakusema aliyoyasema Kigoma?
Watu wakileta tape? ...
 
Ukiweka yote pembeni na kufikiri kama mtu huru, hii habari na mwenendo wa Zitto inatia shaka kwa kweli whatever it is CHADEMA has to deal with this now. Nasari kaongea vizuri kwa kupambanua maono yake katika mstari wa mustakabari wa maslahi ya nchi na taratibu za chama na si kwa maslahi binafsi.....its sad how pale mtu anapowatumia watu kujipandisha, pole Nasari kama uliingizwa mtegoni
 
Ila mmhhh! Zimepita siku tano ndio leo Mwananchi waandike, tena kama lead news! Something fishy here! Tutasikia mengi kuelekea 2015.

Bado Mwananchi ni gazeti langu pendwa, ila msinikatishe tamaa kwa manyuzi yenye utata kama hii ya leo.

mim huwa siisomi tena, kama kun atangazo nataka nampatia muuzaji 200/=napitia namrudishia aliweke lidode au akodishhie mwingine.Kwani nin bwana gazeti likshakuwa kimeo kwanini wengine wasile katika ujinga wao.At least mwanahalisi ndio naweza nenda nalo home.Haki miliki wakadai kwa hao mabwana zao.Magazeti ya bongo mikaratasi kibao imejaa uozo.copy za week kila mahali panajaa uchafu
 
Mbunge wa Arumeru leo ni mara yako ya pili kuikana taarifa yako, ulishawahi kuikana taarifa ya kuitenga nchi na kuanzisha taifa la Kaskazini, pia ukasema Vijana mtatembea kwenda Ikulu...

Leo umelazimishwa kumkataa ZITTO kwa kushinikizwa? kuna siku utajasema Rais umtakaye ni kutoka hukohuko Kaskazini.

Mimi binafsi ni shabiki wa ZITTO kwa vitendo 100% hata mkimchukia kwa Kabila lake au Dini na hukatazwi kumshabikia yoyote kwenye nchi hii bila kujali chama

weka video yenye maneno yake ili tupambanue......
 
kama ipo siku ambayo CHADEMA ITASAMBARATIKA (pamoja na kuwa siamini kamwe itatokea) basi ufa mkubwa wa kuisambaratisha utakuwa Zitto, mnafiki, mpenda sifa, mpenda madaraka, na kujipendekeza kwa JK na CCM pia!!huyu ni wa kufuatilia sana,, ikiwezekana awe weakened ndani ya CDM then atemwe aende NCCR alikokuwa anataka kwenda kumpiku Mbatia!!
 
Habari kutoka vyanzo vya kuaminika ni kuwa:

Timu hii ya Zitto inaongozwa na Jakaya Kikwete,ikimjumuisha Januari Makama nk, na mfadhiri mkuu wa mradi huu mzima wenye thamani ya Bilioni Moja ni Yusufu Manji!

Lengo ni kuibomoa Chadema na kuwazuia Lowasa, Sita na Membe wasigombee kupitia ccm badala yake Januari aje kuwa ndie mgombe halisi wa ccm!

Inaelezwa kuwa mwenyeti wa ccm yupo tayari kuona ccm inakufa lakini si kuona Lowasa anagombe au mwingine zaidi ya huyo J.Makamba, japo kwa sasa amewaweka kwenye orodha vijana watatu na mama wa UN (1) Januari (2) Emanuel Nchimbi (3) Hussein Mwinyi na Migiro

Sasa tusubiri tuone, lakini inaelezwa kuwa ktk mpango huu Zitto atafanya kila vurugu ndani ya chadema ilimradi tu afukuzwe na kwakuanza tu amesha jitangaza kuwa anajitoa kugombe uongozi wa ngazi yoyote ndani ya chadema, hii ni tiketi nzuri kuelekea mafanikio ya mpango huo!

Wadadisi hawa wanazidi kujuza kuwa kwa sasa Zito ndie mwanasiasa Tajiri zaidi akiwa na uwezo wa kufanya chocho na mahali popote ikiwemo kuwa nunua wanahabari na vyombo vyao.

Wajasusi wa ndani ya ccm wenye nia njema na taifa hili wanazidi kujuza kuwa mwaka 2013 ndio utakuwa na mtikisiko zaidi wa kisiasa hasa ikiwa chadema hawatajiandaa kwa yajayo juu ya mwanachama wao ndugu Zitto!

Lakini hayo ndio ya siasa za Tz ngoja tusubiri tuone mapicha ya ukweli toka studio za Tz!
Hii habari imeenea sana ktk vijiwe vya bongo sijui kama kuna ukweli wowote lakini kama kuna ukweli wowote basi namsikitikia sana Zitto maana kaingizwa mkenge walokuwa wakiutaka toka mwaka 2005. Lakini wakati huo huo sidhani kama Zitto ni mjinga kiasi hicho, pengine ana mahesabu yake kwa sababu chaguo la JK hawezi kupita uchaguzi wa mwaka 2015.

Pengine hawajasoma alama za wakati lakini mwaka 2010 ulikuwa tofauti kabisa na mwaka 2005, kila chaguo la JK na hasa yule alomtetea alipigwa chini toka mkoa wa Mwanza, Arusha, Mbeya na bado watu wa karibu naye huundiwa Fitna. Kwa hali yoyote ile kuna uwezekano mkubwa sana kuingia mtu wa EL kwa kutumia mbinu zilezile walizotumia kwa Mkapa. JK kajiingiza ktk maswala ambayo mtandao wa EL wana faili lake na ili lisiwekwe wazi atalazimika kumchagua mtu wa EL na RA..
 
Nikiwa kama mwandishi wa habari, nimewahi kuandika humu ndani tabia chafu za mbunge Zitto Kabwe. Zitto anajiandikia habari, analazimisha ichapishwe bila kufanyiwa uhariri.

Katika watu watakaoliingiza hili taifa katika hatari, ZITTO ni mmoja wao. Anafika kuwahonga waandishi ili waandike habari zake na ziwekwe ukurasa wa mbele. Uongozi haulazimishwi, uongozi ni kazo watu wanapewa na wapiga kura. Jipangeni kuhusu Zitto.

Kazi nzuri Nassari, CMM- Inamsadia zitto kwenye hizi propaganda za kuvuruga CHADEMA

Wajanja walisha jua siku nyingi kuwa zitto aidha anatumiwa au ana lake jambo. huu uchu wa madaraka siyo wa kawaida ni balaa achunguzwe.hivi nchi yetu ikiingia kwenye matatizo kwa ghiliba za zitto si tutajuta. AENDE ZAKE HUKO KWA KAGAME.
 
Nasari afute kauli yake kwani yeye si makini kama unavyojiita,
Inampasa aangalie kwani ni dhahiri Dogo amekua mkurupukaji ktk kuongea sisis kama wa tz tunajiuliza tatizo lake ni nini hasa?
Je ni umri?,
koti alilolivaa halimtoshi?au
ni kujitafutia umaarufu?
hii sio mara yake ya kwanza kuropoka kwani alisha wahi kuropoka kuhusu kuligawa taifa kwa ukaskazini.
anapaswa kujitazama sana dogo.
 
Back
Top Bottom