Nassari akisindikizwa na Kangi Lugola kutoa Shukrani Kanisani!!

ritz,
Kumbuka Faiza Foxy alifungiwa kutokana na tabia yake ya kuendekeza udini humu jamvini. Sasa wewe endelea uone kama hujashughulikwa. Bahati nzuri Invisible, Buchanan na Fang wanakufuatilia.

Wewe mbona unajipendekeza kwa Mods unapenda kujikomba sana wewe JF sio mali ya Chadema Mods hawafanyi kazi kwa kufuata maelekezo yako wewe TUMBIRI kama nimevunja sheria kanuni za JF ni-report.
 
Last edited by a moderator:
Akina invisible walishamzoea, wamemwacha ka mzee wa kiraracha
Mungi,
Unajua kama kichaa anatembea uchi barabarani lakini hakubughudhi huna haja ya kudeal nae. Tatizo ni pale anapotembea uchi alafu anavamia nyumbani kwako tena sebleni ukiwa umekaa na Watoto, Wife na Wakwe. Hapo lazima umshughulikie kwa kumfukuza. Sasa ritz aanze kutembea uchi humu jamvini aone kama kina Invisible, Buchanan na Fang hawajamtimua.

TUMBIRI wa JF,
tumbiri@jamiiforums.com
 
Last edited by a moderator:
Mkuu ebu angalia vizuri Heading ya hii thread inasemaje ngoja nikukumbushe..

"Nassari akisindikizwa na Kangi Lugola kutoa shukrani Kanisani"

Sasa sijui hayo maneno yako umeyatoa wapi.

labda wewe ndo hujaelewa, amekwenda kumshukuru Mungu kanisani, siyo kulishukuru kanisa! Ni kawaida kwa wakristo, kutoa shukurani kwa Mungu kanisani. Lakini kwanini, kwenye jukwaa la siasa tusijadili siasa tu, ritz?
 
Mkuu ebu angalia vizuri Heading ya hii thread inasemaje ngoja nikukumbushe..

"Nassari akisindikizwa na Kangi Lugola kutoa shukrani Kanisani"

Sasa sijui hayo maneno yako umeyatoa wapi.

Mkuu ritz, kutoa shukurani kanisani ni moja ya nguzo za ibada za kikristo. Shukurani iyo ni sadaka anayotoa mtu kwa Mungu akisindikizwa na watu, wakristo na hata wasio wakristo. Sasa najua wewe siyo mkristo na hukubaliani na kitendo hicho. Hata mimi siyo muislamu na kuna mambo mengi tu sikubaliani nayo kwenye uislamu. Lakini naheshimu dini yako na sitaki kukuzuia wewe mr ritz kufanya ibada yako. Usitake ubishi kwa point ambayo hujaielewa. Huu ni ukristo na Nassari ni muumini wa imani hii, au anatakiwa kuwa muislamu kama wewe ndo awe mbunge wa Meru? Na kwa taarifa yako, asilimia 97 ya wakazi wa Meru ni wakristo!
 
Nassari yupo Kanisani...safi sana..sasa waislam waliokuchagua shukrani zao utazitolea wapi?[/QUOTE
Soma hiyo habari kwa umakini kuliko kuropoka,amesema anatoa sadaka ya shukrani kwa Mungu nasi kwa wapiga kura,angekuwa mwislamu angeomba dua.
 


Mbunge Joshua Nasari na Kangi Lugora wakitoa shukurani zake kanisani.

Gladness Mushi wa Full shwangwe -Arusha

Mbunge wa jimbo la Arumeru Mashariki Bw Joshua Nassari leo amefanikiwa kutoa sadaka ya shukurani katika kanisa la FPCT Kilinga wilayani meru mara baada ya kuchaguliwa kama mbunge wa jimbo hilo



Akiongea na Mamia ya wananchi wa jimbo hilo katika kanisa hilo Bw Nassari alisema kuwa ameamua kutoa sadaka maalumu ya kushukuru mungu mara baada ya kumaliza vema uchaguzi huku wapiga kura wake wote wakiwa salama tofauti na pale ambapo wengi waliadhimia



hata ivyo aliwataka viongozi wa vyama vingine kuhakikisha kuwa wanakuwa mstari wa mbele kutetea maslahui ny6a wananchi na kuachananna tofauti za kivyama ambazo kama zitaendelezwa basi zitachangia kwa kiwango kikubwa sana umaskini wa Meru





Akiongea katika kanisa hilo kwa ajili ya ibada hiyo mchungaji Langaeli Kahaya naye alisema kuwa wananchi wanapswa kuhakikisha kuwa kamwe hawamchagui kiongozi yoyote kwa ajili ya maslahi ya Rushwa kwa kuwa wote wanaotoa rushwa ndio wanaosababisha hata umaskini na umwagaji damu ndani ya nchi




Kutokana na hali hiyo alisema kuwa ni mwiko kwa wananchi wma Jimbo la Arumeru Mashariki kujihusisha na Rushwa kwa vipindi vyote vya uchaguzi kwa kuwa mpaka sasa Rushwa imeshaacha madhara makubwa sana ndani ya jimbo hilo na pia Rushwa ni dhambi kubwa sana.
Duhu. Chadema na kanisa
 
Nassari akifatana na wabunge wa ccm hakuna shida,Ikiwa Zitto atafuatana na Albert Obama au January Makamba utaskia mbilikimo wa akili mipovu inawatoka!
 
Wewe mbona unajipendekeza kwa Mods unapenda kujikomba sana wewe JF sio mali ya Chadema Mods hawafanyi kazi kwa kufuata maelekezo yako wewe TUMBIRI kama nimevunja sheria kanuni za JF ni-report.

kumbe buchanan ni Mod, huyu jamaa maada zake zote kuponda uislam? Duhu kazi kweli
 
Aende na Msikitini as watu wa waliompigia walitoka dini zote
Kama hamjaelewa maana ya Kutoa shukrani, muwe mnauliza..........comments nyingine zinaonyesha ujinga,
na ili kuutoa ujinga shurti uulize?

:doh:
 
duhu. kumbe chadema ni kanisa?
Duh!!
una akili nzito sana wewe, na wenzako wakina ritz........kama sivyo basi ni wajinga.......mjinga shurti aulize aelimishwe.

Inapozungumziwa KUTOA SHUKRANI, maana yake ni kushiriki katika ibada ambayo unawaomba waumini wenzako, waungane nawe katika kumshukuru Mungu kwa jambo alilokufanyia.....linaweza kuwa lolote lile ambalo wewe ulimuomba na unaona amepokea maombi yako.
SIO KUWASHUKURU WAUMINI. Msiwe wazito kuelewa kama vile mlianza kusoma CHUO kabda ya shule ya msingi.
 
Back
Top Bottom