real G
JF-Expert Member
- Feb 7, 2013
- 5,227
- 5,287
Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki Joshua Nassari, amekata rufaa kupinga hatua ya kuenguliwa na wasimamizi wa uchaguzi wagombea wake wawili waliopitishwa kugombea udiwani kwenye uchaguzi mdogo wa marudio unaofanyika katika kata tano katika Jimbo la Arumeru Mashariki.
Amesema wagombea hao awali walihongwa fedha, wakapelekwa kwa wazee wa kimila na wachungaji washawishiwe wasigombee na baadae kutishiwa maisha hadi kuhama nyumbani kwao, na iliposhindikana kuwazuia kugombea wakawaondoa bila sababu zenye mashiko