Nassari akata rufaa kupinga kuenguliwa kwa wagombea udiwani

real G

JF-Expert Member
Feb 7, 2013
5,227
5,287
Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki Joshua Nassari, amekata rufaa kupinga hatua ya kuenguliwa na wasimamizi wa uchaguzi wagombea wake wawili waliopitishwa kugombea udiwani kwenye uchaguzi mdogo wa marudio unaofanyika katika kata tano katika Jimbo la Arumeru Mashariki.

Amesema wagombea hao awali walihongwa fedha, wakapelekwa kwa wazee wa kimila na wachungaji washawishiwe wasigombee na baadae kutishiwa maisha hadi kuhama nyumbani kwao, na iliposhindikana kuwazuia kugombea wakawaondoa bila sababu zenye mashiko

Chadema sometimes ni wa ajabu. Mnajua muda wote adui anawawinda kwa mbinu zote lakini utakuta sababu za kuenguliea ni makosa ya kipumbavu kabisa kama submission after deadline; kukosekana mihuri inayokubalika; makosa ya kiuandishi; n.k ambayo kimsingi ni valid. Sijui lina mtabadilika na kuacha kulialia. Hadi mnaboa.
 
Unahonga wagombea kisha unawachukua wawe wagombea wako... bado unazuia watu wasigombee kushindana na wapendwa hao. Daaaah kweli CCM imechokwa na hawajiamini tena.
Refa wenu mnachoogopa ni nini? wekeni mpira chini watu waucheze.
Naona kura za maruhani zinanukia
 
Chadema sometimes ni wa ajabu. Mnajua muda wote adui anawawinda kwa mbinu zote lakini utakuta sababu za kuenguliea ni makosa ya kipumbavu kabisa kama submission after deadline; kukosekana mihuri inayokubalika; makosa ya kiuandishi; n.k ambayo kimsingi ni valid. Sijui lina mtabadilika na kuacha kulialia. Hadi mnaboa.
umeshajua kosa ni nini?
 
Usiongee kitu usichokijua...chunguza kwanza ndo utoe tuhuma
 
Kwani ya Wasira alifungua mashtaka na aliyekata rufaa ni nani vile?
Ndio maana walishidwa, sababu hawakua wagombea hivyo "hawakudhurika' na lolote. Pia kumbuka ile ni Mhakama kuu, hii ya nasdari ni " Tume ya Uchaguzi"
 
Chadema sometimes ni wa ajabu. Mnajua muda wote adui anawawinda kwa mbinu zote lakini utakuta sababu za kuenguliea ni makosa ya kipumbavu kabisa kama submission after deadline; kukosekana mihuri inayokubalika; makosa ya kiuandishi; n.k ambayo kimsingi ni valid. Sijui lina mtabadilika na kuacha kulialia. Hadi mnaboa.
Mimi huwa nachoka sana.kama itakuwa ndiyo habari hizo.bora wakae pembeni tu
 
Back
Top Bottom