Mchaka Mchaka
JF-Expert Member
- Jul 20, 2010
- 4,516
- 1,404
Hata mm mke wangu akiniambia hawa watoto tulionao si wangu..adhabu yake ni kifo!!!!!
Ni ngumu kuthibisha hayo unayo yasema eti hayakuwa yanatoka moyoni,na kwamba alikuwa hamaanishi hayo yote alio yasema!!! thubutu! huwezi jua nyie wanawake hamuamininki sana!!! japo c wote!!! so usijipe 100% ya hayo uliosema hapo juu kuwa ni kweli.Afu unaeza kuta wala hakuna ukweli wowote, ni vile amepata maumivu makali moyoni sasa akaamua kuropoka hivyo ili angalau na huyo mumewe nae aumie kama yeye!
In short Nasra aliathiriwa mno na tukio la kumfumania mumewe, mahangaiko yote aliyoyafanya baada ya tukio ni katika kujipooza tu wala hakuwa anamaanisha kutoka ndani ya moyo wake!...ndio mana wala sio haki kumlaumu/kumuhukumu.
Utapata faida gani? Zaidi sana unajichumia dhambi isiyosameheka...Hata mm mke wangu akiniambia hawa watoto tulionao si wangu..adhabu yake ni kifo!!!!!
Hapa hakuna anaeujua ukweli, tunajaribu tu kuchangia kile tunachohisi. Ndio mana kuna mahali nilisema ndoa ni ngumu. Ukweli wote anao Nasra na mume wake.. Kuhusu suala la uaminifu sio wanawake peke yetu ndio hatuaminiki,.. Wanaume pia hawaaminiki kiukweli...Ni ngumu kuthibisha hayo unayo yasema eti hayakuwa yanatoka moyoni,na kwamba alikuwa hamaanishi hayo yote alio yasema!!! thubutu! huwezi jua nyie wanawake hamuamininki sana!!! japo c wote!!! so usijipe 100% ya hayo uliosema hapo juu kuwa ni kweli.
Utapata faida gani? Zaidi sana unajichumia dhambi isiyosameheka...
SL post zako zote kwenye hii thread nimezisoma,majumuisho yangu ni kuwa unasisitiza kuwa balaa lote kalianzisha mwanaume kwa kutoka nje,si ndio? kwa lugha nyingine Nasra,malaika wa watu,mke mwema,yeye ni mhanga wa tukio zima. Kwa mtizamo huu basi ina maana tukiingia kwenye ndoa nyoyo zetu tuzivalishe kombati la chuma ili zikose hisia kabisa.Ahsante kwa ushauri huo,kinamama hoyeeeeeeee!Hasira za kufumania bana, inauma umwamwini mtu afu uje ungundue kuwa uaminifu wako ni bure... Ndio mana nasema labda manake kumbuka hawa walikuwa vitani,.. Sina hakika kama mke alikuwa na tabia ya kumcheat husband,...hapa inaonyesha mke alianza kuhangaika na bwana mwingine baada ya kugundua kuwa mumewe sio mwaminifu,...
Ndugu yangu hasira zinaweza kumpelekea mtu kufanya / kusema kitu ambacho kitaushangaza ulimwengu! Majuto huja cadae.
kwani ukimuadhibu mtu ndo machungu yanaisha moyoni, mbaba angepotezea tu
Na mimi nimesema kwa mujibu wa Imani yangu sio yako!Hakuna dhambi isiyo sameheka.Na hilo ni suala la imani,so kila mtu anaimani yake!
ngoja ninyamaze juu ya hii mada.....nimekumbuka mbali sana
Sijasema Nasra ni mke mwema wala malaika, tena uache kunilisha maneno...SL post zako zote kwenye hii thread nimezisoma,majumuisho yangu ni kuwa unasisitiza kuwa balaa lote kalianzisha mwanaume kwa kutoka nje,si ndio? kwa lugha nyingine Nasra,malaika wa watu,mke mwema,yeye ni mhanga wa tukio zima. Kwa mtizamo huu basi ina maana tukiingia kwenye ndoa nyoyo zetu tuzivalishe kombati la chuma ili zikose hisia kabisa.Ahsante kwa ushauri huo,kinamama hoyeeeeeeee!
Kutokana na mtiririko mzima wa maelezo ya tukio kuna kila dalili kuwa jamaa hakukusudia kumpa adhabu yoyote ila baada ya maneno na kuzid kufuatwa fuatwa na mkewe (Nasra) alipandwa na hasira ndo kafanya yaliyotokea.Ogopa hasira ikizid kipimo ndgu!!!!! waweza fanya usichotarajia maishani mwako!!!!
mimi tena? Ntake radhi, mi nakutafutia mema ya nchi
unajua nini...mwanamke ni wa kumuwazia mema na kumtakia mema hata kama kakuudhi....hayo ya adhabu anayajua Mwenyezi Mungu peke yake...sisi haturuhusiwi kuhukumu
come this way
yan knachoboa hapo tc the way nasra anavojtamba kwa uzinif wake n kumkashif mwenzie kiac hko n kama yeye aliona adhab ya kumpa mwenzie ni kumkashf everywea ndivo jamaa alivoona adhab ya kuua inafaa