Nasimama na nahoji uadilifu wa John Magufuli (intergrity questioning) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nasimama na nahoji uadilifu wa John Magufuli (intergrity questioning)

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by The only, Mar 6, 2012.

 1. The only

  The only JF-Expert Member

  #1
  Mar 6, 2012
  Joined: May 19, 2011
  Messages: 1,423
  Likes Received: 942
  Trophy Points: 280
  Mi mchango wangu ,naweza sema utendaji wake ni next level ,ila kama great thinker lazima uelewe mtu aweza fake utendaji akilenga kuelekea kutimiza ndoto (rejea : google definition ya propaganda) ila nahoji haya nipate uchambuzi yakinifu :

  1) amewezaje kusurvive kondoo kwenye zizi la chui ?Anasurvive vipi na JK ,jairo,chenge bila kuwa-critisize wao hata cku moja .
  2) mbona hatoi kauli kwenye ishu kama richmond,na ufisadi mwingine <hawezi kuwa anafanya populality politics?
  3) aliposema mabango yote atayatoa akaishia kuyachafua na rangi tuu, je hii si ilikuwa mbinu alipoona kumbe itamualibia
  kwani iligusa maslahi ya wengi saana,ka mahalmashaur ndo wanakolia huko!
  4)kashfa kuwa alimuhonga kijana wa CUF amuache agombee pekee inakuwaje????
  5) na kuwa alishindwa kubalika kwao kwani aligombea kama mara 2 akaangushwa kwa kishindo badae wakagawa
  biharamuro kuwa majimbo mawili yeye akagombea chato yaani kwao ndo akashinda baada ya kupata uwazili akawa
  anapendelea kwao wakati biharamuro ndo makao makuu ya wiraya kwa kutumia uwaziri ?
  6) ana PHD mbichi hata hajaizoea kwa kugundua kemikali iliyo ndani ya maganda ya korosho inayoweza kuondoa kutu.
  sasa kama mzalendo na degree hii aliipata kwa uwezo wake kwann asiitumie kwa field husika aachane na siasa?
   
 2. Kiona

  Kiona JF-Expert Member

  #2
  Mar 6, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 936
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Hapo naona unapaka upepo rangi. sijui kama upepo wenyewe utabadilika rangi
   
 3. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #3
  Mar 6, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,896
  Likes Received: 2,316
  Trophy Points: 280
  E banaee na mimi nakuhoji, kwa nini uhoji utendaji wa Pombe wakati huu ambapp ni yeye pekee anaweza kuhoji hata maamuzi ya walio juu yake kwa maslahi ya Taifa?
   
 4. Maarko

  Maarko JF-Expert Member

  #4
  Mar 6, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 1,030
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  una la kusema kaa kimya usipayuke ovyo.
   
 5. OKW BOBAN SUNZU

  OKW BOBAN SUNZU JF-Expert Member

  #5
  Mar 6, 2012
  Joined: Aug 24, 2011
  Messages: 22,660
  Likes Received: 17,670
  Trophy Points: 280
  integrity questioning?
   
 6. NusuMutu

  NusuMutu JF-Expert Member

  #6
  Mar 6, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 423
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ah, mengi uliyoandika ni bange bange zako tu,sijaona hoja yenye mantiki. Majimbo ya uchaguzi yanagawanywa na nani? Si tume? Sasa JPombe anaingiaje hapo? Mpaka wilaya inagawanywa kuna mambo mengi hapo,vikao vya kamati ya ushauri ya mkoa-RCC nk,JPombe ndo alienda kuweka ushawishi huko? Hayo mengine ya maganda ya sijui viazi sijui korosho nayo ni ugoro tupu
   
 7. K

  Kuchayaa Senior Member

  #7
  Mar 6, 2012
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 106
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hakunaga kama Dr.John Pombe Magufuli bro!
   
 8. M

  Mtabe JF-Expert Member

  #8
  Mar 6, 2012
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 675
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  John Ulabu Magufuli hana jipya
   
 9. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #9
  Mar 6, 2012
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Mimi nadhani sio lazima aseme/ Not all the politicians who have yelled about these matters. he is keeping a low profile, which is political acceptable. Kusema au kutosema ni sawa, ukizingatia yeye ni mwanasiasa.
   
 10. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #10
  Mar 6, 2012
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Why should he? what have you done about Richmond? Yelling about Richmond does not add anything to his integrity.
   
 11. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #11
  Mar 6, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,893
  Likes Received: 5,346
  Trophy Points: 280
  arudishe nyumba za serikali alizoiba.
   
 12. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #12
  Mar 6, 2012
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
   
 13. mgt software

  mgt software JF-Expert Member

  #13
  Mar 6, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 10,717
  Likes Received: 1,627
  Trophy Points: 280
  kila mtu ana uzaifu wake, tukitaja uzaifu hakuna kiongozi anayeweza kuongoza tz, tunachagua mtu angalau, yeye kukosoa makosa ya wengine ana muda wa kujibu upupwe kwenye vyombo vya habari, mlimpa uwazili atekeleze maazimio sio kupiga propogandA chafuzi za kisiasa
   
 14. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #14
  Mar 6, 2012
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135

  4) Nadhani hili waachie TAKUKURU, hii ndio kazi yao.
  5) Hilo waachie wapiga kura wake. Kama wao wamemchagua sidhani kama lina tatizo kwako wewe ambaye hakuwakilishi bungeni.
   
 15. C

  Colman Member

  #15
  Mar 6, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  every one for himself! sometimes kusemea kila kitu ni kutafuta pa kusimama ukiwa tayari umesimama! he is a good guy kiutendaji na anasimama vizuri panapomhusu!
   
 16. kakakuona40

  kakakuona40 JF-Expert Member

  #16
  Mar 6, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 300
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kama huna 200 piga mbizi
  kwa atakayetaka matuka bara bara kuu akapitishe gari lake kwenye matuta ya viazi
   
 17. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #17
  Mar 6, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,010
  Likes Received: 1,814
  Trophy Points: 280
  Mtoa mada amesema mambo meeengi ambayo hayana mashiko. Inaonekana ana bifu na JPM na bila shaka haya ni mambo ya kwa huko Kyamorwa na Buzarayombo.
  Mkuu hili la nyumba nadhani hata JPM mwenyewe linamsumbua kichwani. Pamoja na utendaji wako uliotukuka, nadhani kwenye nyumba aliteleza.
   
 18. m

  moshingi JF-Expert Member

  #18
  Mar 6, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 278
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mambo yote uliyoyaorodhesha hapo juu yanleta hisia kuwa unazo chuki binafsi na huyu Mheshimiwa Pombe
  Jambo BAYA sana alilowahi kulitenda akaling'ang'ania hata alipokosolewa ni kuuza nyumba za watumishi wa serikali
  kana kwamba nchi hii haitakaa iajiri tena watumishi wa serikali...kwamba wale wlipoishi katika nyumba hizo
  waliyapenda maeneo zilipokuwepo nyumba hizo wakapitisha sheria haraka kisha wakajigawia...Wanaomtetea husingizia
  kuwa ulikuwa ni uamuzi wa serikali, lakini ukweli yeye ndiye alipigia chapuo hadharani uamuzi huo, akiwaambia waache wivu...Lakini bado ni kiongozi ambaye angalau anavutia kwa utendaji wake...future yake ni promising endapo atalisahihisha kosa la nyumba za serikali kwa kuzirejesha serikalini.
   
 19. N

  Nteko Vano JF-Expert Member

  #19
  Mar 7, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 436
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hili Magufuli aliteleza, lakini kulikuwa na mpango kabambe wa kujenga maghorofa au nyumba za watumishi mbalimbali katika wilaya kama zile zilizojengwa kuelekea njia ya kibaha. Hii ndio ilikuwa program lakini wakamhamisha wizara na ndipo ule mpango ulifia pale. kama huu mpango ungetimia labda angeweza kulifuta lile.
   
 20. Kobello

  Kobello JF-Expert Member

  #20
  Mar 7, 2012
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 5,674
  Likes Received: 628
  Trophy Points: 280
  Unganza na Ngeleja.
   
Loading...