Nasikitika Mheshimiwa Rais Mama Samia Suluhu kashindwa kuleta umoja wa kitaifa

Wafuasi wa jiwe ndio wanaomuingiza chaka ila naona sasa ameanza kuwashitukia, na asipokuwa makini ili angalau apate uungwaji mkono kiasi toka kwa watu wa nje ya ccm, kwani ukiwa na maadui ndani kwako , halafu na nje tena ukawa nao inakuwa ni tabu sana!!na mama hana kazi ngumu sana ya kuwafanya wapinzani wawe na imani naye kulinganisha na jiwe.lile jamaa lilikuwa na roho mbaya ya kuzaliwa nayo!!kwani majaa yanaona kuwa eti akiliunganisha taifa ni kuwapa wapinzani sauti kitu ambacho sio sahihi kwani ki ukweli jiwe alivuruga nchi hii jamani daaa!!
Kwahiyo wafuasi wa jiwe taifa lao pia lilikufa na yeye?

Kama wewe ndiyo mshauri basi be confident those who laugh last laugh forever not even longer...Msivuruge nchi yetu, wengine hatuna hizo tabia za kimakundi hatujawahi kuwa wafaidika wa teuzi zenu lakini we also are people of this country and we have right and duties to perform!
 
Kwahiyo wafuasi wa jiwe taifa lao pia lilikufa na yeye?

Kama wewe ndiyo mshauri basi be confident those who laugh last laugh forever not even longer...Msivuruge nchi yetu, wengine hatuna hizo tabia za kimakundi hatujawahi kuwa wafaidika wa teuzi zenu lakini we also are people of this country and we have right and duties to perform!
Taifa lao la kihuni nalo lilikufa, ndio maana wakina sabaya nao wanapitia kwenye joto!!wanapenda kuina mama anaendeleza siasa zile za kishamba , siasa za kuwaona wanao kupinga ni maadui ambao hata kuishi hawatakiwi!!siasa zetu achana na sisi wananchi wa kawaida ila hao juu wote ni kutafuta teuzi tu, ukimuona mtu anakosoa sana jua teuzi imemuacha tu, hakuna uchungu wa kumtetea mwananchi .
 
Bila kumungunya maneno Nchi yetu kwa miaka mitano ya hayati JPM ilipitia kipindi kigumu Sana . Tulishuhudia watu wakibaguliwa kwa atikadi za vyama na mpaka kimakabila .Chaguzi Zote I mean ule wa mitaa na uchaguzi mkuu 2020 ulikgubikwa na uhuni mkubwa Hali iliyopelekea CCM kuwa tu kwenye nafasi za uongozi nchi nzima .

Kutokea kwa haya mambo kumeyumbisha Nchi yetu kisiasa,kiuchumi,kijamii na Kwa ujumla umoja wa kitaifa umepotea kwa kiasi kikubwa .
Baada ya yote kutokea na ujio wa Mama Samia kama mkuu wa nchi kulileta faraja kwa makundi mengi huku yakiamini kwamba zile tofauti zetu za kisiasa zitapungua kwa kuliunganisha Taifa,Kwa maneno yake akifungua Bunge alisema atakutana na wapinzani ili kijalibu kuondoa tofauti zilizokuwepo.Hili jambo lilipokelewa kwa shangwe na wazalendo wote.

Lakini kinachonisikitisha kadli ziku zinavoenda ni kuona dhamira ya Mama kuhusu malidhiano ya kitaifa ikizidi kupungua ni kama haipo Tena.
Inavoelekea Mama Sasa hivi focus kubwa kwake ni uchaguzi mkuu wa 2025 huku swala la kuleta umoja wa kitaifa akizidi kulipiga teke.
Kwa ushauri wangu ni kwamba huwezi kuongoza nchi iliyogawanyika na ukafanikiwa maanke mwisho wa siku ni kuanguka tu.
Mama Samia nakuomba kwa unyenyekevu mkubwa Sana Kaa na wazee wa Nchi hii wenye Hekima na busara wakupe ushauri jinsi gani ya kuongoza nchi yetu.Hii migawanyiko na kubaguana sio jambo zuri kwenye nchi.
Bado watu hawana furaha kwa hayo yaliyotekea na yanayoendelea kutokea ni kama mama Samia anandeleza Yale ya JPM ambayo hayakua mazuri .

Mama Samia hili la umoja wa kitaifa kama ukishindwa kulishuggulikia hakika utawala wako hautafanikiwa na utaanguka .
Asanteni.
Atauleta mkuu. Ngoja kwanza aweke mambo sawa ili kila mmoja ajue nafasi yake vizuri na aitumikie ipasavyo
 
umoja gani kitaifa mnataka...

Hizi unazoziona ni vurugu za kisiasa tu, wafanya vurugu ndio wanataka kuvuruga watu...Ukiwaendekeza hawa huwezi kuongoza nchi, maana kila siku watakuja na jipya...
Unasemaje Kassimu Majaliwa!!? Tushakushtukia hutoboi
 
Back
Top Bottom