Join Date : 1st September 2011Kwema wa jf nimesikia mtaani ila sina uhakika kuwa yale mashangingi ya vigogo yananadiwa je kama ni kweli si watauziana humohumo
nipeni ukweli
Join Date : 1st September 2011
Posts : 18
Rep Power : 0
Tuwafahaumu wageni na habari zao!
Akikomaa atafahamu chakuandika!
Join Date : 1st September 2011
Posts : 18
Rep Power : 0
Tuwafahaumu wageni na habari zao!
Akikomaa atafahamu chakuandika!
<br />Hizo porojo mmezizungumza MSIKITI gani manake hapa msikitini kwetu hazijatufikia.
<br />Hata kwa dawa hayawezi kupigwa mnada, sanasana watajigawia kwa bei sawa na ya kununua bajaji
He! Mbona unatukana mkuu?Pumbavu wacha kukashifu nyumba za ibada za wenzio.