Nasikia wanaume hawana michepuko kabisa siku hizi. Je, ni kweli?

Ah wapi
"Tukiwa katika wakati wa kunyooshwa tunyooke...
Sasa hivi wanaume wengi hawana Michepuko Kabisa!
Yani mwanaume mwenye mshahara WA kawaida Tu kutoa hela yake akampe Michepuko wakati ana watoto wanaodaiwa ada shuleni imekuwa ngumu sana

Michepuko nayo ina gharama yake lakini!, zile chenji za zamani zilikuwa zinapatikana patikana ovyo Nchini sasa hivi hazipo tena

Unafanya KAZI unapata Haki yako... Unafanya biashara unapata halali yako.. usipofanya KAZI hupati kitu

Tunamshukuru Sana Raisi wetu Mzuri Kwa Juhudi zake za kunyoosha Waume zetu waliopinda Miaka Mingi hapo Nyuma (2005-2015)... Sisi kina Mama na Wake Halali wa ndoa tunaona kabisa Jinsi gani Waume wetu walivyonyooka... tunayaona Maendeleo nyumbani na Heshima ya ndoa Imerudi Kwa Kasi kubwa sana sasa!

Tunamwomba Mheshimiwa Raisi wetu Aendelee Kutunyoosha Mpaka mwisho, waswahili wanasema Samaki Mkunje angali Mbichi Ila Waume zetu waliogoma kukunjika sasa wamenyooka wenyewe bila mafuta au grisi"
... Alijisemea Dadangu Leo mchana alipokuwa anapata Lunch pale Mbezi Beach njia ya chini Kwa Zena!

Naskia Waume za watu (Wanaume wengi sikuhizi ) hawana Michepuko kabisa, Je NI kweli? NI kweli?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unauma meno kimiya kimiya kwa kuwa madanga yako yote yanakukwepa ktk utawala huu eeh?
 
mimwenyewe nimeona.bora nirudi njia kuu manaa.ukipiga hesabu kwanzia.gest bapa.malipo yake na nauli unaona bora ukalipie DSTV uwe unangalia.hata mpira wikendi huku ukivizima.mama yoyo maana kunamichepuko mingi ibaki na jina tuu ila.kazi haiwezi inazidiwa na nyumba kubwa

Michepukoo gharama aisee.. Imebdi wale block tuu Shikamoo Magu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ni kweli kabisa magu katunyoosha sisi wanaume ndio maana siku hizi hata makahaba tunawagonga kwa buku buku badala ya elf 30 tena
 
"Tukiwa katika wakati wa kunyooshwa tunyooke...
Sasa hivi wanaume wengi hawana Michepuko Kabisa!
Yani mwanaume mwenye mshahara WA kawaida Tu kutoa hela yake akampe Michepuko wakati ana watoto wanaodaiwa ada shuleni imekuwa ngumu sana

Michepuko nayo ina gharama yake lakini!, zile chenji za zamani zilikuwa zinapatikana patikana ovyo Nchini sasa hivi hazipo tena 😂😂😂

Unafanya KAZI unapata Haki yako... Unafanya biashara unapata halali yako.. usipofanya KAZI hupati kitu

Tunamshukuru Sana Raisi wetu Mzuri Kwa Juhudi zake za kunyoosha Waume zetu waliopinda Miaka Mingi hapo Nyuma (2005-2015)... Sisi kina Mama na Wake Halali wa ndoa tunaona kabisa Jinsi gani Waume wetu walivyonyooka... tunayaona Maendeleo nyumbani na Heshima ya ndoa Imerudi Kwa Kasi kubwa sana sasa!

Tunamwomba Mheshimiwa Raisi wetu Aendelee Kutunyoosha Mpaka mwisho, waswahili wanasema Samaki Mkunje angali Mbichi Ila Waume zetu waliogoma kukunjika sasa wamenyooka wenyewe bila mafuta au grisi" 😂😂
... Alijisemea Dadangu Leo mchana alipokuwa anapata Lunch pale Mbezi Beach njia ya chini Kwa Zena!

Naskia Waume za watu (Wanaume wengi sikuhizi ) hawana Michepuko kabisa, Je NI kweli? NI kweli?

Mtu anaeitwa Mwanaume sio wa mchezo mchezo dada angu hata awe na mia mfukoni kama kadhamilia kadhamilia tu labda aamue sitaki mchepuko pia madem classic ndo ataachana nao
 
Unauma meno kimiya kimiya kwa kuwa madanga yako yote yanakukwepa ktk utawala huu eeh?
Danga ndo Nani?
Njoo YouTube kama unanijua lkn... uone kama kuna Sura ya danga pale
We sema huwezi miliki Michepuko yaishe.. wanaume wakitz mmefulia mbayaa 😂😂😂
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom