S V Surovikin
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 13,590
- 32,672
Ni kweli.kwa sasa mapenzi yote nimehamishia kwa mke wangu
"Tukiwa katika wakati wa kunyooshwa tunyooke...
Sasa hivi wanaume wengi hawana Michepuko Kabisa!
Yani mwanaume mwenye mshahara WA kawaida Tu kutoa hela yake akampe Michepuko wakati ana watoto wanaodaiwa ada shuleni imekuwa ngumu sana
Michepuko nayo ina gharama yake lakini!, zile chenji za zamani zilikuwa zinapatikana patikana ovyo Nchini sasa hivi hazipo tena
Unafanya KAZI unapata Haki yako... Unafanya biashara unapata halali yako.. usipofanya KAZI hupati kitu
Tunamshukuru Sana Raisi wetu Mzuri Kwa Juhudi zake za kunyoosha Waume zetu waliopinda Miaka Mingi hapo Nyuma (2005-2015)... Sisi kina Mama na Wake Halali wa ndoa tunaona kabisa Jinsi gani Waume wetu walivyonyooka... tunayaona Maendeleo nyumbani na Heshima ya ndoa Imerudi Kwa Kasi kubwa sana sasa!
Tunamwomba Mheshimiwa Raisi wetu Aendelee Kutunyoosha Mpaka mwisho, waswahili wanasema Samaki Mkunje angali Mbichi Ila Waume zetu waliogoma kukunjika sasa wamenyooka wenyewe bila mafuta au grisi"
... Alijisemea Dadangu Leo mchana alipokuwa anapata Lunch pale Mbezi Beach njia ya chini Kwa Zena!
Naskia Waume za watu (Wanaume wengi sikuhizi ) hawana Michepuko kabisa, Je NI kweli? NI kweli?
We sema ya wote...mimi namaanishaShemela unapenda majibu ya wote wewee….. !!
Ahahahahaahahaa unamaanishia kwenye wote ujuwe...
WoyooooNi kweli.kwa sasa mapenzi yote nimehamishia kwa mke wangu
HahahaahhaSikatai me wakwanza yaani kumpa hela demu ambaye nimekutana nae ndani yawiki moja2 nibora nikampe mahabuba wangu ambaye ananipatia kitumbua manyoya hata kama nikiwa nipo pumb....2
Sent using Jamii Forums mobile app
Lete risiti ya maskini tuthaminishe 😂😂😂jidanganye sana.....mwanaume ni yule yule....hata maskini ana chepuko lake....
WoyooooooooNi kweli kabisa hela ya kuhonga hamna tena. Mimi binafsi nimebaki njia kuu, baada ya kukosa hela ya kuhonga michepuko. Heshima imerudi mjini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha
Miki Michepuko sasa kama we kidume basiTena sasahivi michepuko ndo imezidi inazagaa tu, sababu sasahiv market yenu nyie michepuko imeshuka sana, kwakweli sasahiv ivi ni kero mnavong'ang'ania hata bila hela
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapi weweMoney penny michepuko tunao ila life style ndio imebadilika tu.Zamani ukimpa mchepuko buku ishirini anakataa anakuambia hata nauli haitoshi ila skuizi ukimpa chochote anakuita majina yote.
Kote ulikuwa unapiga dry?Daahh nilishakuw na michepuko mitano na wife wa 6 daaahh nilichokuw naambulia siku zote ni kuambukizw tu magonjw ya zinaa!na mi naambukiza wote iwe kisonono au UTI mwisho nikaamua tujitib na wife kisha tubaki wenyewe.nashkuru pasi haikutupitia
Sent using Jamii Forums mobile app