Nasikia wanaume hawana michepuko kabisa siku hizi. Je, ni kweli?

Ni kweli kabisa hela ya kuhonga hamna tena. Mimi binafsi nimebaki njia kuu, baada ya kukosa hela ya kuhonga michepuko. Heshima imerudi mjini.
"Tukiwa katika wakati wa kunyooshwa tunyooke...
Sasa hivi wanaume wengi hawana Michepuko Kabisa!
Yani mwanaume mwenye mshahara WA kawaida Tu kutoa hela yake akampe Michepuko wakati ana watoto wanaodaiwa ada shuleni imekuwa ngumu sana

Michepuko nayo ina gharama yake lakini!, zile chenji za zamani zilikuwa zinapatikana patikana ovyo Nchini sasa hivi hazipo tena

Unafanya KAZI unapata Haki yako... Unafanya biashara unapata halali yako.. usipofanya KAZI hupati kitu

Tunamshukuru Sana Raisi wetu Mzuri Kwa Juhudi zake za kunyoosha Waume zetu waliopinda Miaka Mingi hapo Nyuma (2005-2015)... Sisi kina Mama na Wake Halali wa ndoa tunaona kabisa Jinsi gani Waume wetu walivyonyooka... tunayaona Maendeleo nyumbani na Heshima ya ndoa Imerudi Kwa Kasi kubwa sana sasa!

Tunamwomba Mheshimiwa Raisi wetu Aendelee Kutunyoosha Mpaka mwisho, waswahili wanasema Samaki Mkunje angali Mbichi Ila Waume zetu waliogoma kukunjika sasa wamenyooka wenyewe bila mafuta au grisi"
... Alijisemea Dadangu Leo mchana alipokuwa anapata Lunch pale Mbezi Beach njia ya chini Kwa Zena!

Naskia Waume za watu (Wanaume wengi sikuhizi ) hawana Michepuko kabisa, Je NI kweli? NI kweli?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Money penny michepuko tunao ila life style ndio imebadilika tu.Zamani ukimpa mchepuko buku ishirini anakataa anakuambia hata nauli haitoshi ila skuizi ukimpa chochote anakuita majina yote.
Wapi wewe
Acha kujitutumua
Michepuko umtoe wapi nduguyangu
Kubali Umenyooka
Ndio Maana Mwendo kasi zinajaza mpaka watu wanabakana
Chezeya Ngosha wewe? 😂😂
 
Daahh nilishakuw na michepuko mitano na wife wa 6 daaahh nilichokuw naambulia siku zote ni kuambukizw tu magonjw ya zinaa!na mi naambukiza wote iwe kisonono au UTI mwisho nikaamua tujitib na wife kisha tubaki wenyewe.nashkuru pasi haikutupitia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom