Nasikia wanaume hawana michepuko kabisa siku hizi. Je, ni kweli?

Pamoja na majibu yako mazuri ndugu mjumbe ningependa kukazia hapo kidogo kwa mtoa mada kwamba kwa idadi yao ilivyo tukisema tuache kabisa dunia itakua sio salama watasumbua kwa nyege..hata enzi za kina Suleiman hakua mjinga..kwahyo tumepunguza tu idadi.
Nyoooo sema mmefulia
We kama Una mawe yako Kula na wenzio buana
Me nakwambia mpaka tufike 2025 wanaume mtaoshaga na vyombo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
CCM OYEEE πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Money penny michepuko tunao ila life style ndio imebadilika tu.Zamani ukimpa mchepuko buku ishirini anakataa anakuambia hata nauli haitoshi ila skuizi ukimpa chochote anakuita majina yote.
 
Back
Top Bottom