Nasikia wanaume hawana michepuko kabisa siku hizi. Je, ni kweli?

Money Penny

JF-Expert Member
Jun 20, 2016
15,743
14,667
"Tukiwa katika wakati wa kunyooshwa tunyooke...
Sasa hivi wanaume wengi hawana Michepuko Kabisa!
Yani mwanaume mwenye mshahara WA kawaida Tu kutoa hela yake akampe Michepuko wakati ana watoto wanaodaiwa ada shuleni imekuwa ngumu sana

Michepuko nayo ina gharama yake lakini!, zile chenji za zamani zilikuwa zinapatikana patikana ovyo Nchini sasa hivi hazipo tena 😂😂😂

Unafanya KAZI unapata Haki yako... Unafanya biashara unapata halali yako.. usipofanya KAZI hupati kitu

Tunamshukuru Sana Raisi wetu Mzuri Kwa Juhudi zake za kunyoosha Waume zetu waliopinda Miaka Mingi hapo Nyuma (2005-2015)... Sisi kina Mama na Wake Halali wa ndoa tunaona kabisa Jinsi gani Waume wetu walivyonyooka... tunayaona Maendeleo nyumbani na Heshima ya ndoa Imerudi Kwa Kasi kubwa sana sasa!

Tunamwomba Mheshimiwa Raisi wetu Aendelee Kutunyoosha Mpaka mwisho, waswahili wanasema Samaki Mkunje angali Mbichi Ila Waume zetu waliogoma kukunjika sasa wamenyooka wenyewe bila mafuta au grisi" 😂😂
... Alijisemea Dadangu Leo mchana alipokuwa anapata Lunch pale Mbezi Beach njia ya chini Kwa Zena!

Naskia Waume za watu (Wanaume wengi sikuhizi ) hawana Michepuko kabisa, Je NI kweli? NI kweli?
 
Kilichofanyika ni kupunguza idadi… toka wengi hadi wawili au mmoja… By the way, hata michepuko nayo inajuwa kuna hali ngumu siku hizi… hawadai hela kihiiiivyooo..!!!
Mmmh!
Sio kwamba hamtoi kabisa! 😂😂😂
School Fees Oyeee
Oh nimesahau unasomesha watoto kayumba
 
Mmmh!
Sio kwamba hamtoi kabisa! 😂😂😂
School Fees Oyeee
Oh nimesahau unasomesha watoto kayumba
Mtoto Kayumba…. unajuwa si kwamba tusipohonga ndo tunawea lipa ada kwa uykamilifu na kwa wakati.. la hashaa…. Yaani shida ipo pale pale uhonge au usihonge..
 
Kilichofanyika ni kupunguza idadi… toka wengi hadi wawili au mmoja… By the way, hata michepuko nayo inajuwa kuna hali ngumu siku hizi… hawadai hela kihiiiivyooo..!!!
Pamoja na majibu yako mazuri ndugu mjumbe ningependa kukazia hapo kidogo kwa mtoa mada kwamba kwa idadi yao ilivyo tukisema tuache kabisa dunia itakua sio salama watasumbua kwa nyege..hata enzi za kina Suleiman hakua mjinga..kwahyo tumepunguza tu idadi.
 
Back
Top Bottom