Nasikia wanaume hawana michepuko kabisa siku hizi. Je, ni kweli?

Wewe ni mbwa kama mbwa wengine .Ahaaa ahaaa hiyo nyoro yako siitaki nimeshaichoka.

born to shine
Anti huna soko hamia uzi mwingine huku hawakutaki
Mbwa mamako aliekuzaa mpaka leo humjui babako
Huyu jamaa anataka nini mbona simwelewi? 50thebe anamtukana honey wako mbwa sijui tumfuate anapoishi?
Eti Jokajeusi na Smart911 mnakubali dadaenu aitwe mbwa?
 
Tuzoee tu humu jamiiforums... binadamu ndivyo tulivyo... mtu akikutukana... like comment yake alafu unampotezea...

Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom