Nasikia wanaume hawana michepuko kabisa siku hizi. Je, ni kweli?

mimwenyewe nimeona.bora nirudi njia kuu manaa.ukipiga hesabu kwanzia.gest bapa.malipo yake na nauli unaona bora ukalipie DSTV uwe unangalia.hata mpira wikendi huku ukivizima.mama yoyo maana kunamichepuko mingi ibaki na jina tuu ila.kazi haiwezi inazidiwa na nyumba kubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahah
Pole boss wake
Baki njiia kuu Michepuko sio dili
 
We kenge kweli punguza stress za kukwama kimaisha

Sent using Jamii Forums mobile app
Naanzaje kukwama kimaisha wakati siishi Africa?
Yani umedoda Sana aunty nikusaidie uje Ulaya ujiuze maana Tz hamna soko lazima ufanye KAZI utoke jasho ndio upate senti ya Kula
SHikamoo Ngosha endeleea kutunyoosha😂😂😂
 
Naanzaje kukwama kimaisha wakati siishi Africa?
Yani umedoda Sana aunty nikusaidie uje Ulaya ujiuze maana Tz hamna soko lazima ufanye KAZI utoke jasho ndio upate senti ya Kula
SHikamoo Ngosha endeleea kutunyoosha
Duuuuuuuuu

Sent from my TA-1024 using Tapatalk
 
ni kweli kabisa magu katunyoosha sisi wanaume ndio maana siku hizi hata makahaba tunawagonga kwa buku buku badala ya elf 30 tena
Ukimwi Oyeee
Unajisifia uanaume Kwa huku?
Kweli Wanaume walishaenda Dodoma 😂😂😂
Akyanani CCM Oyeee 😂😂😂
 
Naanzaje kukwama kimaisha wakati siishi Africa?
Yani umedoda Sana aunty nikusaidie uje Ulaya ujiuze maana Tz hamna soko lazima ufanye KAZI utoke jasho ndio upate senti ya Kula
SHikamoo Ngosha endeleea kutunyoosha😂😂😂
Nani aunty mbalawala mmoja wewe. Hizo stress zitakuua. Kwanza sibishani na mtu anayekojoa akiwa kachuchumaa.
 
Mtu anaeitwa Mwanaume sio wa mchezo mchezo dada angu hata awe na mia mfukoni kama kadhamilia kadhamilia tu labda aamue sitaki mchepuko pia madem classic ndo ataachana nao
Mademu Classic sasa hivi wanaonekana kama Malaika SA hivi mtaani
Woyoooooooo Acha awanyooshe Tu!
 
Nani aunty mbalawala mmoja wewe. Hizo stress zitakuua. Kwanza sibishani na mtu anayekojoa akiwa kachuchumaa.
Anti pole wa kukufira hayupo minyege imekujaa kama simtank la Lita 5000
Peleka stress zako Kwa Mheshimiwa anatafuta mabwabwa wa Kiume kama wewe... Nenda kajisalimishe kabla sijakupeleka Mama wee!
Ukome kuzoea watu usiowajua kwenye mitandao ya kijamii utaozea jela pumbavu!
 
Sasa ninyi si mpo wengi!Tushukuruni kwa kile tukifanyacho basii

Sent from my TA-1024 using Tapatalk
Precisely wingi WA wanawake haunihusu kabisa
Me nishaolewaga Nina wajukuu 5 napeta Tu
Niache kudanganya watoto wa like kuwa wapo wengi... Kama wapo wengi sasahivi wanahudumiwa na Nani mkiwa wanaume mmefulia?
 
Huko ni kujidanganya, hata hali iwe ngumu vipi wanaume hawatoacha kuchepuka.
Anza leo wewe basi ututumie kapicha tukuone kidume!
Sikuhizi hata Instagram imepoaaa watu hawana bando la kuingia Instagram na WhatsApp
NI sheedah ndugu ametunyoosha kweli kweli
 
Back
Top Bottom