Nasikia wanaume hawana michepuko kabisa siku hizi. Je, ni kweli?


flulanga

flulanga

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2016
Messages
2,016
Points
2,000
Age
25
flulanga

flulanga

JF-Expert Member
Joined Jul 1, 2016
2,016 2,000
Sikatai me wakwanza yaani kumpa hela demu ambaye nimekutana nae ndani yawiki moja2 nibora nikampe mahabuba wangu ambaye ananipatia kitumbua manyoya hata kama nikiwa nipo pumb....2

Sent using Jamii Forums mobile app
 
dr shayo

dr shayo

Senior Member
Joined
Oct 28, 2014
Messages
168
Points
250
dr shayo

dr shayo

Senior Member
Joined Oct 28, 2014
168 250
Ni kweli kabisa hela ya kuhonga hamna tena. Mimi binafsi nimebaki njia kuu, baada ya kukosa hela ya kuhonga michepuko. Heshima imerudi mjini.
"Tukiwa katika wakati wa kunyooshwa tunyooke...
Sasa hivi wanaume wengi hawana Michepuko Kabisa!
Yani mwanaume mwenye mshahara WA kawaida Tu kutoa hela yake akampe Michepuko wakati ana watoto wanaodaiwa ada shuleni imekuwa ngumu sana

Michepuko nayo ina gharama yake lakini!, zile chenji za zamani zilikuwa zinapatikana patikana ovyo Nchini sasa hivi hazipo tena

Unafanya KAZI unapata Haki yako... Unafanya biashara unapata halali yako.. usipofanya KAZI hupati kitu

Tunamshukuru Sana Raisi wetu Mzuri Kwa Juhudi zake za kunyoosha Waume zetu waliopinda Miaka Mingi hapo Nyuma (2005-2015)... Sisi kina Mama na Wake Halali wa ndoa tunaona kabisa Jinsi gani Waume wetu walivyonyooka... tunayaona Maendeleo nyumbani na Heshima ya ndoa Imerudi Kwa Kasi kubwa sana sasa!

Tunamwomba Mheshimiwa Raisi wetu Aendelee Kutunyoosha Mpaka mwisho, waswahili wanasema Samaki Mkunje angali Mbichi Ila Waume zetu waliogoma kukunjika sasa wamenyooka wenyewe bila mafuta au grisi"
... Alijisemea Dadangu Leo mchana alipokuwa anapata Lunch pale Mbezi Beach njia ya chini Kwa Zena!

Naskia Waume za watu (Wanaume wengi sikuhizi ) hawana Michepuko kabisa, Je NI kweli? NI kweli?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Money Penny

Money Penny

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2016
Messages
9,286
Points
2,000
Money Penny

Money Penny

JF-Expert Member
Joined Jun 20, 2016
9,286 2,000
Sikatai me wakwanza yaani kumpa hela demu ambaye nimekutana nae ndani yawiki moja2 nibora nikampe mahabuba wangu ambaye ananipatia kitumbua manyoya hata kama nikiwa nipo pumb....2

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaahha
CCM Oyeee πŸ˜‚πŸ˜‚
Wacha waisome namba eee, CCM Mbele Kwa Mbeleee
 
Money Penny

Money Penny

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2016
Messages
9,286
Points
2,000
Money Penny

Money Penny

JF-Expert Member
Joined Jun 20, 2016
9,286 2,000
Tena sasahivi michepuko ndo imezidi inazagaa tu, sababu sasahiv market yenu nyie michepuko imeshuka sana, kwakweli sasahiv ivi ni kero mnavong'ang'ania hata bila hela

Sent using Jamii Forums mobile app
Miki Michepuko sasa kama we kidume basi
Woyoooooooo wanyooshe Baba wanyookeeeeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Money Penny

Money Penny

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2016
Messages
9,286
Points
2,000
Money Penny

Money Penny

JF-Expert Member
Joined Jun 20, 2016
9,286 2,000
Money penny michepuko tunao ila life style ndio imebadilika tu.Zamani ukimpa mchepuko buku ishirini anakataa anakuambia hata nauli haitoshi ila skuizi ukimpa chochote anakuita majina yote.
Wapi wewe
Acha kujitutumua
Michepuko umtoe wapi nduguyangu
Kubali Umenyooka
Ndio Maana Mwendo kasi zinajaza mpaka watu wanabakana
Chezeya Ngosha wewe? πŸ˜‚πŸ˜‚
 
adden

adden

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2015
Messages
4,728
Points
2,000
adden

adden

JF-Expert Member
Joined Dec 27, 2015
4,728 2,000
Daahh nilishakuw na michepuko mitano na wife wa 6 daaahh nilichokuw naambulia siku zote ni kuambukizw tu magonjw ya zinaa!na mi naambukiza wote iwe kisonono au UTI mwisho nikaamua tujitib na wife kisha tubaki wenyewe.nashkuru pasi haikutupitia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dark Rahl

Dark Rahl

Member
Joined
Dec 27, 2018
Messages
76
Points
125
Dark Rahl

Dark Rahl

Member
Joined Dec 27, 2018
76 125
Daahh nilishakuw na michepuko mitano na wife wa 6 daaahh nilichokuw naambulia siku zote ni kuambukizw tu magonjw ya zinaa!na mi naambukiza wote iwe kisonono au UTI mwisho nikaamua tujitib na wife kisha tubaki wenyewe.nashkuru pasi haikutupitia

Sent using Jamii Forums mobile app
Kote ulikuwa unapiga dry?
Ha ha haa haa daah.
 

Forum statistics

Threads 1,283,424
Members 493,679
Posts 30,788,838
Top