Nasikia walipotangaza yale majina hiki kilifanyika

Waberoya

Platinum Member
Aug 3, 2008
15,168
10,793
Nasikia Ukimkamata muuzaji mmoja, unampata huyo huyo, network yake hauipati kabisa! Ukimtangazia anapata muda wa kuhaha kupiga simu, kuhamisha mizigo na kujisafisha

Lilipotangazwa Jina lako tu, waliishawekewa makachero na tracking systems zote na kupata mtandao mpana zaidi, with evidence

Na walipogoma kutoa ushirikiano, wali confirm uhusika wao.....hawa wamezaa wengi zaidi wasiokuwa wanajulikana

Je hili ni kweli?
 
Andrew Nyerere atakuelewa
maadamu hautumiii mkuu, uliza ueleweshwe

Kuna tuhuma au kosoa kosoa kuwa eti wanaotangaziwa kwanza wanapewa nafasi ya kujisafisha hivyo hakuna akina Makonda wanachokifanya

hayo ndio majibu ya wanaokosolewa

Kuwa walijua kila kitu kitakachotokea na hai watuhuiwa wote tangu wanaambiwa wanaitwa waaanza kuchunguzwa nyendo zao

wengi wameongezwa

akili ya ziada hii
 
Hiyo tuache kesho ndo tutajua ...lkn hata Mimi pia nilikisia kutumika kwa busara za kiintelijensia kama izo .....yan hii mbinu huwa wanaitumia sana waizirel na mwisho wasiku muizirael huwa anashinda sana vita zake ...hii inaitwa CHOKOZA ..TULIA ...WAANZE KUHAHA ...ALAFU PIGA ..

We Putin umemuweka Trump Madarakani, nadhani unajua hii kitu

sasa sisi wakosoaji hatukuwaza hili?
 
Nasikia

Ukimkamata muuzaji mmoja, unampata huyo huyo, network yake hauipati kabisa!

Ukimtangazia anapata muda wa kuhaha kupiga simu, kuhamisha mizigo na kujisafisha

Lilipotangazwa Jina lako tu, waliishawekewa makachero na tracking systems zote na kupata mtandao mpana zaidi, with evidence

Na walipogoma kutoa ushirikiano, wali confirm uhusika wao.....hawa wamezaa wengi zaidi wasiokuwa wanajulikana

Je hili ni kweli?
So kina TID walikutwa na evidence ndiyo maana wakawekwa chini ya uabgalizi wa polisi for 2yrs?

Ndivyo sheria inavyosema ?
 
Drug dealers are smart enough not to speak in codes
hawa watu wakiwa katika harakati zao za kawaida ndio huwa wanatumia mawasiliano ambayo ni unique sana na yenye ulinzi ....lakin kwa hii ya Makonda iliwavuruga sana ...."MTU mzm anapopatwa na jambo even kichwa kinaparaganyika kwa mawazo "" soo usishangae ni kwann iwe ivo ......
..hapo ndo utajua ni kwann Gwajima katetewa na Dr.Slaa ..alaf eti mwisho silaa anasemaje "" Mi Dr Silaa "" hahahahahahahah .....

Hii serikali ya sasa sio ya mzaha, somo alolipata mkuu kwa Paul kagame linatosha ukichanganya na nature ya "usukuma" .....kazen buti.
 
Ni kuwampole tu, hii kuhaha sana hii ina maswali mengi mno!

mtu mzima mbowe naona kakwepa kinamna!!
 
Nasikia

Ukimkamata muuzaji mmoja, unampata huyo huyo, network yake hauipati kabisa!

Ukimtangazia anapata muda wa kuhaha kupiga simu, kuhamisha mizigo na kujisafisha

Lilipotangazwa Jina lako tu, waliishawekewa makachero na tracking systems zote na kupata mtandao mpana zaidi, with evidence

Na walipogoma kutoa ushirikiano, wali confirm uhusika wao.....hawa wamezaa wengi zaidi wasiokuwa wanajulikana

Je hili ni kweli?

Ukiona wana haha namna hiyo hao siyo manguli..... nguli wana namna yao ya mawasiliano na wanajiamini sana .... manguli hua hawajulikani na huwa wanajua yote ya polisi....kaka manguli wapo na ndio wanawatoa hawa wanaoshutumiwa ili wawaajiri wapya wasiojulikana ....!

Ila siamini km TZ hii biashara ipo kwa kiwango kikubwa wengi wanaishia A. Kusini na China wanaouza humu sidhani km kuna mapipa yanaisha kwa mauzo... biashara hii hapa kwetu ni yakupitisha zaidi .... kwani unadhani kwanini pembe za ndovu hazichomwi moto hapa bongo? Huoni ni maamuzi ya kifedhuli,
Km hawathubutu kuchoma pembe za ndovu moto gharama za kuzilinda zipo ktk bajeti gani ya serikali? Wapo wasiotaka hizo pembe kuchomwa na wanaongea na serikali.... wapo walioingia mikataba ya hovyo ya madini nchini Tanzania wanaongea na serikali, gharama kubwa za ujenzi wa barabara zetu zinaishia wapi km siyo serikalini na ujenzi wa Dodoma unadhani gharama zake nani atajua hiyo ni kubwa kuliko madawa kaka....! CAG hana hela ya ukaguzi kujua ubadhirifu , bunge halina nguvu tena ya kuipangia serikali mapato na matumizi ... nchi imehamia mikononi kwa watu fulani wanaotuaminisha ni watakatifu .... raha hapa ukweli husimama bila mtetezi
 
maadamu hautumiii mkuu, uliza ueleweshwe

Kuna tuhuma au kosoa kosoa kuwa eti wanaotangaziwa kwanza wanapewa nafasi ya kujisafisha hivyo hakuna akina Makonda wanachokifanya

hayo ndio majibu ya wanaokosolewa

Kuwa walijua kila kitu kitakachotokea na hai watuhuiwa wote tangu wanaambiwa wanaitwa waaanza kuchunguzwa nyendo zao

wengi wameongezwa

akili ya ziada hii
Hamna kitu kama hiyo,tuambie mpaka sasa nani amepekuliwa akakutwa na mzigo,wote wako nje tena kwa dhamana waliyoombewa na Jamhuri hiyo hiyo iliyowashitaki!Hamna plan hapo,intelejensia ya bongo iko vizuri kunasa dalili za uvunjifu amani mikutano ya wapinzani tu!Hawana lolote
 
Nasikia

Ukimkamata muuzaji mmoja, unampata huyo huyo, network yake hauipati kabisa!

Ukimtangazia anapata muda wa kuhaha kupiga simu, kuhamisha mizigo na kujisafisha

Lilipotangazwa Jina lako tu, waliishawekewa makachero na tracking systems zote na kupata mtandao mpana zaidi, with evidence

Na walipogoma kutoa ushirikiano, wali confirm uhusika wao.....hawa wamezaa wengi zaidi wasiokuwa wanajulikana

Je hili ni kweli?

Waliozaliwa mbona hata vipimo vya kitaalamu vinaonyesha hawajawahi hata kunywa pombe wala kuvuta sigara? Wanazaliwa ili wasajiriwe kwenye madawa au wanatakiwa wawe wahusikakweli?

Somo gani unalipata kuzalisha mtu kama Gwajima halafu vipimo hata vya kitaalamu vinamtetea? Huoni kama ni fedheha kubwa na ni kiashirio tu kwamba kuna wengi wataonewa unless ppolisi iendelee kufanya kazi kwa kujitegemea bila kuingiliwa?

Unasemaje juu ya wanaofahamika hadi kimataifa kama lizimongo na wale wa GcM lakini hawaitwi hata kuhojiwa tu?
 
Hao waliopigiana simu labda ni wauza bangi wa Tarime!! Lakini kwa wauza unga wenyewe hata mtandao hutumia deep (dark) web
 
Back
Top Bottom