mkapwa1990
New Member
- Oct 4, 2016
- 3
- 4
Eti wadau mliopo katika ajira za serikalini nikweli mmepewa taarifa ya kurudiwa kwa uhakiki?
Kwani ni kweli wametoa taarifa hiyo?Eti wadau mliopo katika ajira za serikalini nikweli mmepewa taarifa ya kurudiwa kwa uhakiki?
Mtahakikiwa mpaka mkome. kwa kuwa hawana pesa za incliment wala madeni ya walipanda daraja hiyo ni delaying texhnic ili watu wasopige kelele. kwa mantiki kuwa kuna zoezi linaendelea. Tucpate nfc ya kuhoji<< NDIO mkuu uhakiki kila baada ya miezi 3 >>
I am pretty sure you are among of the faking people..!Eti wadau mliopo katika ajira za serikalini nikweli mmepewa taarifa ya kurudiwa kwa uhakiki?
Duuuuu hawa jamaaa bwana hivi hakim na nacte nani mwenye uwezo wa kukijua cheti fekiLeo tumebandikiwa matangazo kazini kwetu kwamba tuwasilishe nakala za vyeti vilivyothibitishwa na hakimu na halisi zake .Mwisho 2 March 2017.Ni uonevu,uliopindukia.Pesa ya kopi yangu, ya muhuli mahakamani yangu.Nyongeza hunipi.Kwanini usisimamishe watumishi wote ili utakayemwona ana vigezo ndo umwite kazini aendelee na kazi?.Kama una mashaka na mimi mbona waendelea kunitumia huku nateseka na ugumu wa maisha na haki zangu umezibaka hadharani?
Waliposema wanataka vyeti vya 4m 4 ulidhani wanamaanisha niniKwani ni kweli wametoa taarifa hiyo?
Hapo umesomeka mkuu.kwa hyo majina ya wale ambao inabd wawasilishe vyet upya yametoka Necta?Hapana sio kwamba unarudiwa kuna details za baadhi ya watumishi sio zote hazikuingizwa sawasawa kwenye soft hvyo mfumo wa Necta umezipanch hvyo kwa kuwa na zile hardcopy zilikuwa submitted hvyo inalazimu kuita baadhi ambao vyeti vyao havikuingizwa kikamilifu kuingiza upya ili kurekebisha taarifa.
Hapo kuna kitu umechangia lakini hujakifaham.Duuuuu hawa jamaaa bwana hivi hakim na nacte nani mwenye uwezo wa kukijua cheti feki