nasikia sikia siri ya tungi ndo nini jamani??

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,483
54,850
sasa hivi habari ya mjini ni "siri ya tungi". kila mtu mwenye stori lazima adokeze siri ya tungi. hiyo siri ya tungi iloingia mjini ndo nini? au ndo hayo mambo ya digitali?. naombeni ufafanuzi.
ni hayo tu. mia
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom