Nasikia raha sana Man U akifungwa

DR SANTOS

JF-Expert Member
Mar 11, 2019
10,513
21,404
Jamani ukiachana na ibada mpira nao unaweza kuwa kwenye rank ya kukusanya kundi kubwa la watu wenye mitazamo tofauti.

Mpira raha sana hasa pale unaposikia timu usioipenda imefungwa. Mimi ni shabiki wa liverpool... kwangu man U na Real madrid wakifungwa hua najisikia faraja sana

Wewe je unashabikia timu gani? Na timu gani hupendi ipate matokeo mazuri?
View attachment 1683800View attachment 1683801View attachment 1683802
 
jamani ukiachana na ibada mpira nao unaweza kua kwenye rank ya kukusana kundi kubwa la watu wenye mitazamo tofauti.

mpira raha sana hasa pale unaposikia timu usioipenda imefungwa.
mimi ni shabiki wa liverpool...kwangu man u na real madrid wakifungwa hua najisikia faraja sana

weww je unashabikia timu gani? na timu gani hupendi ipate matokeo mazuri?
View attachment 1683800View attachment 1683801View attachment 1683802
Wewe utakuwa muhitimu wa darasa la Saba 2020 si kwa uandishi huu aisee unaanza sentence Kwa herufi ndogo huweki koma wala vituo ama kweli Jf imevamiwa
 
Huyu ndo juzi alikua na hali hii
1611259329760.gif
Numbisa unaitwa huku 😂😂
GGMU

#juuyameza
 
Back
Top Bottom