bukoba04
JF-Expert Member
- Dec 26, 2014
- 1,401
- 1,287
habar wana JF
kuna habari zinasikika kuwa mkuu wa mkoa wa dsm, Bwana Paulo Makonda, tayr alikuwa kaishafika simiyu kabla mkuu wa nchi ajatangaza kurudi kwenye vituo na kurudisha posho...
nasikia aliamuru plate namba ya gar ibadilishwei kutoka RAC DSM kwenda DFP na kugeuka usiku wa manane, ili kukwepa aibu kwa wana dasalama na viongozi wenzake
pia wale wanauslama wa barabarani wanaolinda zile barriers, kwa upande wa barabara kuu za mikoa ya kaskazini, walishuhudia pia ujio wa mkuu wa mkoa wa Arusha bwana Mrisho Gambo, akirud na yy nyakati za usku wa manane kuogopa fedheha akiwa ameambatana na viongoz wengen wawili ambao hawakuweza kufahamika kwa haraka...
najaribu kujiuliza kama ni kweli, mbona hawa watu wamekuwa wakijipambanua wazi wazi mbele ya kamera na majukwaan kuwa wanamsaidia mheshimiwa rais kubana matumizi, wakat wao tayar walikuwa washakunja posho na kuzitia kibindoni au ndio kuganga njaa kwao huko?
kweli nimeamini sio kila anayekupigia makofi anakushangilia ase...
kama kuna tetesi za viongoz wengne waliojialika na kujilipa posho, wakakutana na panga la mtukufu endelea kuwaorodhesha, ili wapate kufahamika kwa mtukufu