Nasikia kutakua na beach party kubwa Jumapili ya kusherehekea ushindi dhidi ya Corona

Kuna mipango kabambe inaandaliwa ya kufanya beach party kubwa sana ya kushangilia ushindi dhidi ya Corona jumapili, na kuna tetesi Diamond platnumz akaongoza shamra shamra hizo, hii imekaaje?

Kuna bonge la kuamka kwa kasi kubwa mno kwa maambukizi makubwa mno na ya ajabu ya Covid-19 ambayo hayajawahi kutokea. Ujinga ukitamalaki, maangamizi hushika hatamu.
 
Ngoja nikamvishe nyau
Wangu barakoa kwanza then nije

mchawi ni binadamu ,paka ni kijakazi
 
IMG_20200520_025622.jpg
 
Tanzania tulikosega wapi sisi ??

Mambo gani Haya ??
Kwa Mambo gani hasaaa yaliyofanywa kuidhibiti Corona



Sent using Jamii Forums mobile app

Maswali yako niya msingi sana. Inasemekana tatizo lilianza mara tu baada ya nchi kupata uhuru. Mfumo wa siasa na brainwashing vilianzia hapo.

Hatupo sawa hata kidogo. Imagine tuna kiongozi ambaye amekuwa kituko kwetu lakini hatuoini.

Sasa vituko vyake vimevuka mipaka ya nchi na hata nje ya Africa, lakini sisi tunachukulia poa. Tuna shida kubwa. TANU na CCM vimeharibu akili za watu.
 
Mbona wanaharaka sana waanze kufungua mashule na kila kitu kirudi normal halafu ndio kusherehekea.

sasa tunashereheke vipi huku tumevaa barakoa?
 
Back
Top Bottom