Nasikia kuna sabuni ya kuogea ya maji; naomba kujua inatumikaje?

Gharama yake ipoje na kimatumizi huwa inaweza kudumu kwa muda gani kwa mtu mmoja?
Gharama inategemea na uliponunua na Ujazo wa Sabuni na kuhusu

Muda wa kukaa kwamimi natumiaga zaidi ya mwezi mzima zangu ni 1.5Ltr or 2Ltr
 
Mie uwa natumia shower gel tu nyumbani kwangu maana sabuni za kawaida zinaambukiza fangasi haswa kwa watoto kama wanashare na dada wa kazi

Matumizi yake imeshaelezwa huko juu ila pia naona kama ni nafuu kuliko sabuni za kushika sijui niziitaje. Natumia DOVE Goat Milk ukimaliza kuoga bafuni kote kunanukia utadhani kwenye ndege
Sikweli kwamba sabuni za vipande zinaambukiza fangasi
 
Back
Top Bottom