Nasikia hii ni nyimbo ya Nick Mbishi, sijui kweli?

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Aug 1, 2014
2,546
2,989
SORRY JK".... Nicki Mbishi.
Hook:
It will one day make sense/Nikisema hakuna president kama JK/
Tanzania inakumiss yaani daily/
Kwa niaba ya wabongo I'M SORRY JK/
Lyrics:1
I'm sorry JK nimeona tu niseme/
Mzuka huu niliupata nikiwa Juu Kijenge/
Mikopo hakuna tena huendi chuo kikuu kizembe/
Bungeni wanalewa wanabonga tu king'eng'e/
Wakitwanga wanatamba wakisanda wanatubu/
Simuoni tena Jay tangu akutane Sugu/
Scorpion amegeuka ghostface mwema/
Aliyeota Rais atakufa anaitwa Godbless Lema/
RC na Wasafi us
 
liyeota Rais atakufa anaitwa Godbless Lema/
RC na Wasafi uswazi madefender/
Hapa Kazi tu mtaani njaa kali sio sinema/
Kama kuisoma tushaisoma namba/Ungegombea awamu ya tatu
ingekuwa bora labda/
Lyrics:2
Enzi za bibi cheka wengi walikuita babu cheka/
Hawakujua kuwa nyakati zinakuja nakusepa/
Ulivunga wakibeza kuwa unapenda sana bata/
Na kiki ka" Makonda za Wasafi kuwafuata/
Wabongo watakumbuka kwenye sekta ya michezo/
Mpaka Taifa Stars nayo ikaonesha mauwezo/
Ukaongeza vigezo nyenzo matengenezo/
L copy and paste
 
Hiyo ni nyimbo ya nikki mbishi bado official haijatoka ila alipost mwenyewe hayo mashairi kwenye ac yake ya insta kama alivyofanya kwenye ngoma ya babu talent ambayo aliachia mashairi kwanza instagram kisha nyimbo ikafuata.
 
Hiyo ni nyimbo ya nikki mbishi bado official haijatoka ila alipost mwenyewe hayo mashairi kwenye ac yake ya insta kama alivyofanya kwenye ngoma ya babu talent ambayo aliachia mashairi kwanza instagram kisha nyimbo ikafuata.
 
UKWELI UTAZUIWA NA UWONGO HUPEWA KIPAO MBELE TUNAKWENDA WAPI KAMA UKWELI HUFICHWA NA KUUNGA MKONO UJINGA HII NI TANZANIA YA LEO INA KWENDA WAPI WA TANZANIA
 
Chuo kikuu mikopo hakuna
mtaan njaa kali ni noma
Ajira hakuna
Vijana wana haha huku makada wanapata bingo
uhakiki umekuwa fimbo
We remember you JK
tulikuona dhaifu
lkn huyu ndiyo dhaifu na ni mbaya
Umeng'ara sana JK
Japo madudu yalikuwepo
Uzalendo haupo kwa sasa.
NAJUTA KUZALIWA TZ
Iam sorry JK
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom