Nashukuru sana kwa ushauri wenu hatimae nimefanikiwa..

Hivi huyu si ndo yule aliye kwny top 3 za wadada wachangiaji hovyo humu ndani?
 
Kama ni maumivu kwa kweli sasa nimepona ..ningelificha maradhi mwishowe ningelizidi kuumia baada ya kusoma comments zenu na wengi kuja inbox kwa kunirubuni ila msimamo wangu ulikua ni kutokumkubalia mtu tofauti na my hubby kiukwel kuna bi shoste mmoja alinipa mbinu na nikalifanyia Kazi hatimae my hubby kanitendea haki na kuutibu ugojwa wangu najisikia faraja sana kwani tutakua tunaendelea ...poleni wote mliojaza inbox yangu kwa kutaka kitonga .....




Asante sana kwa kusikiliza ushauri wangu, nimependa ulivyoufanyia kazi,
Endelea kula maisha matamu na murua na mumeo hakika mahusiano yenu yatakuwa mazuri.

Safi sana mkuu........
Kwa maamuzi mazuri uliyoyachagua.
I like it mkuu.....
Big up sana....

Happy new year...... ( * 2017 * )
Coming soon y'all mutha fucka.....


But remember a satan still waiting you in hell b!tch.......
 
Back
Top Bottom