Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 20,860
- 30,213
- Thread starter
- #21
Babe...Kumbe hii familia ilikua ya kitajili sana.kwa kifupi Hawa ndo walikua madoni wa dar kwa waafrika .
Sasa mzee wangu vipi hii familia iliyopo Sasa hivi kiuchumi ikoje?
Asante.
Wapo hapa hapa Dar es Salaam.
Nawaona kama nilivyowaona miaka yote.