Nashukuru Mungu sijapangiwa IFM !!!!

Hukupangiwa IFM kwa sababu hukuwa na sifa za kujiunga na hicho chuo.Ndiyo maana SAUT ukiwa na hata division two ya form six unaweza kuchaguliwa kusomea sheria direct, lakini UDSM huwezi kuchaguliwa sheria direct ukiwa na division two.
Unavyosema yeyote humu ndani angechaguliwa IFM angejisikiaje,inategemea mtu mwenyewe ulivyosoma malengo yake yalikuwa awe nani baada ya kumaliza elimu ya juu.

sio 2 bali kuna jamaa ana 3 16 kaenda kusomea law
 
Jambo usilolijua ni kama usiku wa giza vijana muwe mnauliza wa kubwa zenu siyo mnakurupuka tu,yaani hujishangai vyuo umepanga kwa priority umepanga last priority badala utafakari jinsi gn utaenda kusoma huko usiwe mtu tena wa last priority unaanza kujifariji.Jiangalie dogo usije ukamaliza chuo na ukakosa PRIORITY na mtaani utajuta kuzaliwa!.....
 
kuna neno 1 huwa anapewa mtu mwenye uwezo mdogo w kufikili nalo si jingine ni KILAZA
 
kila nikimsoma huyo jamaa nasikia kichefuchefu ungekua hujachaguliwa popote ungerembulia wapi wacha kejeli mi mwenzako nina two lakini mpaka sasa tcu wananizingua nabado wanasema wanashughulikia ningepata IFM ningehic nipo haera so we baada yakupata ndo unajifanya sizitaki mbichi hizi unabweka tu wakati hung'ati huo ni ulemavu wa fikra
 
Anayedic chuo flan hajisom,,,et utackia kampuni yanatangaza nafac za kaz alafu mwishoni wanasema **ANGALIZO---Awe amesoma UDOM*** ACHENI MAMBO YA KIZAMANI,,,SWALA C CHUO,,,SWALA NI efficiency ya kaz,,na kupata kazi
 
We mjinga huna akili kabisa unafikiri waliopanga hawana akili kama wewe, au wametumia ****** kama ulivyofanya mtihani wako wa necta?? Kama ungekuwa na akili ungeenda havard university *****, isitoshe kozi uliyopangiwa ni ya kisenge huko saut, **** u!!
 
We mjinga huna akili kabisa unafikiri waliopanga hawana akili kama wewe, au wametumia ****** kama ulivyofanya mtihani wako wa necta?? Kama ungekuwa na akili ungeenda havard university *****, isitoshe kozi uliyopangiwa ni ya kisenge huko saut, **** u!!

Harvard ya Baba ako???

Kila Mtu anajua Kutukana ...Sa Mi harvad Ya Nini....
 
huyu dogo anahitaj msaada wa kisaikolojia. Mwenye ujuz amsaidie tafadhali
 
Wazee wenzangu huyu mtoto Kiazi Kwelikweli, kama wamewachagua ambao hawakuomba imekuaje yeye akaachwa? Ulikoenda dogo ndiko ulikostahili. Lakini IFM kwa watoto wakali, yote wakashifuni ila kwa hili la watoto wakali ni namba one bongo, wamepitia unyago wanaweza kweli. Au siku hizi wanadahili wamakonde tupu?
nawe akili yako haina tofauti na mtoa mada, tofuti ipo katika uelekeo wa mnachokizungumza.
Shame on you!
 
Back
Top Bottom